Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi kwa mtindo wa NATO

Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi kwa mtindo wa NATO

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanakumbi.

Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi cha kwa mtindo wa NATO.

Nchi za Mashariki ya Kati zinaungana kupigana na Israel pindi atakaposhambulia nchi yeyote ya Mashariki ya Kati naona kumeanza kuchamgamka sasa Netayahu kamchokoza tajri alikuwa anadhani Qatar ni kama Syria au Lebanon au Iraq.
================


View: https://x.com/globalupdates24/status/1967302629786353986?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Katika binadamu vigeugeu hawa nao wapo.

Kwa maneno hawajambo njoo sasa kwenye matendo against USA kila mmoja anabana kende.
 
Hao waarabu wangekua na umoja wasingeonewa kiasi hicho.
Namheshimu sana RiTz kwa kusimama upande wa haki na kutupa taarifa mbali mbali ambazo wengine tunakuwa hatujazipata. Ila kwa hili la waarab naona kama ameteleza bila kuwa na pakushika.

Mkongwe yeyote mwenye kufuatilia siasa, vita na mambo ya ME (Middle East) hawezi kuamini hiki kilichopangwa, au kuongelewa na waarab.

Waarab ni wanafiki, waoga na wajinga. Hivyo ni ngumu sana kuwa na Umoja wa aina yoyote kwa ajili ya kumkabili adui. Ndo ile wanapanga kumshambulia Netanyahu alaf mmoja wao anampigia sim Trump kimya kimya kumtaarifu juu ya shambulio hilo. Kinachofuata ni Trump kumtaarifu Netanyahu kisha Netanyahu kwa msaada wa kambi za Marekani zilizopo katika nchi hizo hizo za kiarabu anawawahi wao kabla hawajaanza kushambulia Israel.

Habari zingine kwakweli kukimbilia kuzuiandika humu ni upuuzi mtupu.
 
The only things modern Arabs are good at is Camel riding and Maniacal Extravagance. They should live affairs of wars to Whites, Jews and Mongoloids.

Meanwhile, NATO is a self-sufficient, self-sustaining, and combat able war machine that has a robust military experience essential for conducting a modern warfare.

Arabs import everything, from guns to ammunitions. The only things they export are oil, gas and death.

What a sick joke...​
 
Wanakumbi.

Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi cha kwa mtindo wa NATO.

Nchi za Mashariki ya Kati zinaungana kupigana na Israel pindi atakaposhambulia nchi yeyote ya Mashariki ya Kati naona kumeanza kuchamgamka sasa Netayahu kamchokoza tajri alikuwa anadhani Qatar ni kama Syria au Lebanon au Iraq.
================


View: https://x.com/globalupdates24/status/1967302629786353986?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw



NDO UMEDANGANYWA HIVI LEO? ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO. UMEONA ALICHOFANYA SAUDI ARABIA? WEWE SUBIRI TU UKITAWAZA UPEWE LA KUANDIKA
 
Qatar Airways has deleted “lsraeI” from the map and replaced it with Palestinian Territories 😂👏🏼
The Israeli air force can always visit Qatar for target exercises, just like they did to Hamas leaders last week.

Saudi Arabia has the Prophet Muhammad's (SAW) blessings to permit Israel to use its airspace for reaching Qatar and Yemen. 😁

punguza ku copy na ku paste comments kama kasuku, kama kiingereza hakipandi tumia kiswahili utaeleweka

1757935484435.png
 
Namheshimu sana RiTz kwa kusimama upande wa haki na kutupa taarifa mbali mbali ambazo wengine tunakuwa hatujazipata. Ila kwa hili la waarab naona kama ameteleza bila kuwa na pakushika.

Mkongwe yeyote mwenye kufuatilia siasa, vita na mambo ya ME (Middle East) hawezi kuamini hiki kilichopangwa, au kuongelewa na waarab.

Waarab ni wanafiki, waoga na wajinga. Hivyo ni ngumu sana kuwa na Umoja wa aina yoyote kwa ajili ya kumkabili adui. Ndo ile wanapanga kumshambulia Netanyahu alaf mmoja wao anampigia sim Trump kimya kimya kumtaarifu juu ya shambulio hilo. Kinachofuata ni Trump kumtaarifu Netanyahu kisha Netanyahu kwa msaada wa kambi za Marekani zilizopo katika nchi hizo hizo za kiarabu anawawahi wao kabla hawajaanza kushambulia Israel.

Habari zingine kwakweli kukimbilia kuzuiandika humu ni upuuzi mtupu.
Mbona kama umepanic?

Tajiri kachokozwa kumbuka Qatar siyo Syria au Yemen au Lebanon.

Tulia utaelewa kwa nini Qatar ni tajri.
 
C

check ulivyo empty kichwani
Angalia punguani mwingine huyu.

Qatar itawekeza dola bilioni 10 Katika utengenezaji wa makombora ya Iran, Drones na Rada kwa ajili ya makombora ya masafa marefu ya kilomita 1000+ kwa kusitisha uhusiano wa kiulinzi na kiuchumi na #Israel.

🚨 Netanyahu anasema, Iran inaweza kupeleka Makombora ya Hypersonic katika ulimwengu wa Kiislamu yenye umbali wa kilomita 480.
 
Back
Top Bottom