Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi kwa mtindo wa NATO

Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi kwa mtindo wa NATO

Mbona kama umepanic?

Tajiri kachokozwa kumbuka Qatar siyo Syria au Yemen au Lebanon.

Tulia utaelewa kwa nini Qatar ni tajri.
Qatar anaubavu wa kupambana na marekani mkuu?
 
Kwani Qatar kashambuliwa na marekani?
SAsa mkuu kama kashambuliwa na israel , kwa ubobevu wako hufahamu kwamba yeyote atakayemfata lazima atakutana na marekani mkuu, kwani hili ni jambo la kificho?

Si jana tu rubio wamempigisha sala kwenye ukuta wa kiyahudi kule?
 
SAsa mkuu kama kashambuliwa na israel , kwa ubobevu wako hufahamu kamba yeyote atakayemfata lazima atakutana na marwkani mkuu, kwani hili ni jambo la kificho?

Si jana tu rubio wamempigisha sala kwenye ukuta wa kiyahudi kule?
Fikirishi mdau, kila anachofanya Israel lazima apate baraka za USA, kifupi USA ni Israel na Israel ni USA!
Ila myahudi anakosea sana sana sana...
 
Waarabu wachukue njia za kiuchumi na physical location kuiminya Israel, hapo wataweza:Wakatae ndege zao kupita anga zao, wafute makibaliano ya kibiashara, wafute balozi, etc..Option ya kijeshi na the like, ni kutafuta kuangamizwa, sababu EUROPE WOTE WATAWAGEUKA, USA..WATAWAGEUKA
 
Fikirishi mdau, kila anachofanya Israel lazima apate baraka za USA, kifupi USA ni Israel na Israel ni USA!
Ila myahudi anakosea sana sana sana...
Hapa nyumbani polepole anatuambia serikali imetekwa na wanamtandao, sasa kwa upande wa huko majuu sijui ilikuaje ila USA imetekwa na israel muda mrefu sana.


Na katika tukio hili marekani anapata wakati mgumu zaidi kwa sababu wale biongozi wamepona shambulio, lasivyo angepongeza wazi wazi kwamba atleast lengo limetimia.


Kwa upande wa myahudi ni tapeli sana, anakushawishi uende kwenye meza ya mazungumzo wakati huo anatumia fursa hiyo kukumaliza
 
Waarabu wachukue njia za kiuchumi na physical location kuiminya Israel, hapo wataweza:Wakatae ndege zao kupita anga zao, wafute makibaliano ya kibiashara, wafute balozi, etc..Option ya kijeshi na the like, ni kutafuta kuangamizwa, sababu EUROPE WOTE WATAWAGEUKA, USA..WATAWAGEUKA
Europe upepo unabadilika kwa kasi sana. Wameanza kufungua macho
 
Wakishindwa, waambieni nipo tear kutoa msaada wa maombi ya kuwasafirisha mbinguni kwa amani, raha ya milele... Apewe ee bwana...
 
The only things modern Arabs are good at is Camel riding and Maniacal Extravagance. They should live affairs of wars to Whites, Jews and Mongoloids.

Meanwhile, NATO is a self-sufficient, self-sustaining, and combat able war machine that has a robust military experience essential for conducting a modern warfare.

Arabs import everything, from guns to ammunitions. The only things they export are oil, gas and death.

What a sick joke...​
😀😀Mwaisa naona unaleta falsafa za huyo dogo kwa avator yako (Huey Freeman)
So far,uko sahihi sana
 
😀😀Mwaisa naona unaleta falsafa za huyo dogo kwa avator yako (Huey Freeman)
So far,uko sahihi sana
Arabs should stick to selling oil, camel riding, driving fancy cars and exporting death. Modern Warfare is a highly advanced state of affair, reserved only for sophisticated state with technological and industrial prowess.

A Defense Pact against whom ???​
 
Back
Top Bottom