Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Tena ole wake akigusa Egypt ndio bye bye
Tena ole wake akigusa Egypt ndio bye bye
Hapana na wewe pia umeteleza hapa, kumbuka Qatar ni tofouti na Saud Arabia wakisema kitu huwa wanakifanya. Qatar atanza kuwapelekea silaha Syria, Lebanon na Al Houthi we tega sikia tu, pia Qatar atawatumia Pakistan, Egypt, Turkey na China kulinda nchi yake.Namheshimu sana RiTz kwa kusimama upande wa haki na kutupa taarifa mbali mbali ambazo wengine tunakuwa hatujazipata. Ila kwa hili la waarab naona kama ameteleza bila kuwa na pakushika.
Mkongwe yeyote mwenye kufuatilia siasa, vita na mambo ya ME (Middle East) hawezi kuamini hiki kilichopangwa, au kuongelewa na waarab.
Waarab ni wanafiki, waoga na wajinga. Hivyo ni ngumu sana kuwa na Umoja wa aina yoyote kwa ajili ya kumkabili adui. Ndo ile wanapanga kumshambulia Netanyahu alaf mmoja wao anampigia sim Trump kimya kimya kumtaarifu juu ya shambulio hilo. Kinachofuata ni Trump kumtaarifu Netanyahu kisha Netanyahu kwa msaada wa kambi za Marekani zilizopo katika nchi hizo hizo za kiarabu anawawahi wao kabla hawajaanza kushambulia Israel.
Habari zingine kwakweli kukimbilia kuzuiandika humu ni upuuzi mtupu.
Waarab ni wapumbavu na washenzi sana. Mimi sitaki hata kusikia habari zao.Kama six days war ilikuwa hivyo hivyo...
Kweli kabisa lakini katika warabu mjinga wao wa kwanza ni Saud Arabia, huyu akiamua kuwa leader Warabu hawata chezewa hata na USA.Waarab ni wapumbavu na washenzi sana. Mimi sitaki hata kusikia habari zao.
Wajinga sana. Siku zote walikuwa wapi? Waungane kuwaangamiza Israel maana hawana utu kabisa hawa Wayahudi.Qatar Airways has deleted “lsraeI” from the map and replaced it with Palestinian Territories 😂👏🏼
Mkuu nashukur kwa maoni yako, lakin nina imani ya 100% kwamb haya uliyoandika hapa hayawezi kufanyika, na naweza kukupa sababu za wazi kabisa.Hapana na wewe pia umeteleza hapa, kumbuka Qatar ni tofouti na Saud Arabia wakisema kitu huwa wanakifanya. Qatar atanza kuwapelekea silaha Syria, Lebanon na Al Houthi we tega sikia tu, pia Qatar atawatumia Pakistan, Egypt, Turkey na China kulinda nchi yake.
Hao Qatar ni wehu unawaamini Qatar wanaolindwa na U.S[mbwa wa Israel] wewe na huyo Qatar wote mna matatizo.Hapana na wewe pia umeteleza hapa, kumbuka Qatar ni tofouti na Saud Arabia wakisema kitu huwa wanakifanya. Qatar atanza kuwapelekea silaha Syria, Lebanon na Al Houthi we tega sikia tu, pia Qatar atawatumia Pakistan, Egypt, Turkey na China kulinda nchi yake.
Sasa Israel na US si walewale?Kweli kabisa lakini katika warabu mjinga wao wa kwanza ni Saud Arabia, huyu akiamua kuwa leader Warabu hawata chezewa hata na USA.
Saud Arabia angetumia akili akawa na Iran ni bora kwake kuliko kumtegemea USA.
Mimi namini Qatar hata muwacha Israel salama lazima atawatumia Syria na Hezbullah kulipa kisasi, time itaongea
Saudia ipo pale kwa sababu ya waingereza na wamarekani Gadaffi alimchana mfalme wa Saudia mpaka akamchukiaKweli kabisa lakini katika warabu mjinga wao wa kwanza ni Saud Arabia, huyu akiamua kuwa leader Warabu hawata chezewa hata na USA.
Saud Arabia angetumia akili akawa na Iran ni bora kwake kuliko kumtegemea USA.
Mimi namini Qatar hata muwacha Israel salama lazima atawatumia Syria na Hezbullah kulipa kisasi, time itaongea
Mkuu mimi mtu yoyote anaeitwa Muarabu wa Middle East huwa simuamini kama anaweza kufanya jambo la kumkera Mmarekani.Kweli kabisa lakini katika warabu mjinga wao wa kwanza ni Saud Arabia, huyu akiamua kuwa leader Warabu hawata chezewa hata na USA.
Saud Arabia angetumia akili akawa na Iran ni bora kwake kuliko kumtegemea USA.
Mimi namini Qatar hata muwacha Israel salama lazima atawatumia Syria na Hezbullah kulipa kisasi, time itaongea
Hawa watu falme zao zimeshikiliwa na nyuzi nyembamba sana hofu kubwa wakimtosa U.S basi falme zao nazo zinaanguka.Mkuu mimi mtu yoyote anaeitwa Muarabu wa Middle East huwa simuamini kama anaweza kufanya jambo la kumkera Mmarekani.
Wewe unafikiri miaka yote walikuwa hawaujui unyama wa Israel? Yani inawezekana vipi wewe mbongo wa kawaida uujue unyama wa Israel toka zamani halaf waarab wa Qatar wasijue. Lakin cha kushangaza walikubali kuwa na uhusiano nao ili kumkomoa muajemi.
Na wakaona hiyo haitoshi wakamtunza fest jet ya gharama kubwa (Trump) mtu anaewapa Israel silaha iangamize ndugu zao huko Gaza.
Halaf et leo ndo wajifanye wanapambana na Israel, mbona kuvunja uhusiano tu wameshindwa?
Mkuu na kubaliana na wewe 💯Mkuu nashukur kwa maoni yako, lakin nina imani ya 100% kwamb haya uliyoandika hapa hayawezi kufanyika, na naweza kukupa sababu za wazi kabisa.
1. Ili Qatar ifanikishe hayo unayosema inatakiwa kwanza ianze kudeal na Marekani kwa kuitaka ifunge kambi zake zote zilizopo nchini Qatar kama walivyofanya Traure kwa wafaransa. Bila hivyo Marekani ataanzisha vikundi vya waasi ndani ya ardhi ya Qatar kimya kimya na matokeo yake yatakuja kutokea yaleyale ya Syria. Yani badala ya kupambana na Israel itajikuta inatumia nguvu kubwa na risilimali zote ilizonazo kupambana kwanza na waasi waliopo nchini kwake.
2. Raisi wa Iran amezishauri nchi za kiarabu ambazo zina uhusiano na Israel ziuvunje uhusiano huo haraka sana. Lakin mpaka leo si Qatar wala nchi yoyote ya kiarabu Ishavunja uhusiano huo. Hii inaonesha kuwa hili swala limewafedhehedha Qatar lakin wanaogopa kulichukulia hili swala serious kwa sababu ya kumhofia bwana wao Marekani.
1. Waarab bado wanawaona wazungu kama ni watu bora zaidi ya wengine, ndomaana wapo tayari hata kupambana na jirani yao Iran ili kuwafanya wazungu wafurahi. Leo hii Qatar akiambiwa achague rafiki kati ya Marekani na Iran nakuapia kwamba Qatar wataichagua Marekani na kuitosa Iran. So hapo sioni cha maana watachofanya kumdhibiti Israel as long as Marekani anawamudu waarab wote na akili zao anatembea nazo mfukoni.
Mimi ni adui mkubwa wa Israel. Lakin ikitokea vita kati ya Israel na Qatar natangaza wazi humu kwamba nitakuwa upande wa Israel. Sababu wakati Iran inaitandika Israel ili kuifunza namna ya kuheshimu mipaka ya nchi zingine, Qatar yeye na waarab wenzake walikuwa upande wa Israel. Na walifanya kila wawezalo kuhakikisha Iran inashindwa vita na Israel.Niliumia sana siku Qatar wanampa Trump ndege na deals za mabilion ya dolars that was a very huge mistake hela ambayo akimpa Al Houth na muIran nakuhakikishia US mwenyewe lazima aweke mkia matakoni US anamjua . muajemi vyema
Niliumia sana siku Qatar wanampa Trump ndege na deals za mabilion ya dolars that was a very huge mistake hela ambayo akimpa Al Houth na muIran nakuhakikishia US mwenyewe lazima aweke mkia matakoni US anamjua . muajemi vyema
Nipo na wewe na hilo kosa alilo fanya Qatar limeisha wakaa kwenye kooo, sababu wakijidai hawamtaki USA wanapinduliwa siku hiyo hiyo. Hapo watumie tu akili kumtoa taratibu kwa kumwambia hawana uwezo wa kuwasupport tena kwenye hio base, ili USA akasirike aondoke, zaidi ya hapo hio base imeisha kuwa ni bastola wamewekewa kwenye kisogo 🤣Sasa Israel na US si walewale?
Maana hata kambi ya US kubwa kuliko zote pale Middle East ipo pale Qatar..
Ndugu zako hawa unao watetea hapa kmmk zao wsng hawa wali shirikiana na NATO kumuangusha muarabu mwenzao.Mkuu na kubaliana na wewe 💯
Qatar hawezi kwa sasa kumtoa USA kwa speed kali sababu hao USA wanaweza ipindua hio serekali ya Qatar, watakacho fanya watanza taratibu kumkatia support za kuwapa kwenye hio base afu watajaribu kuomba Turkey azidishe askari pale Qatar ili kuzuwia mapinduzi.
Qatar kuwajengea hao USA base ilikuwa kosa kubwa sana na aliye wapa hiyo fikra alikuwa si mtu mzuri.
Hio inajulikana hata Gaddafi alisha sema hayo, lakini kama wasemavyo waswahili kila .chimba kaburi.laxima na yeye ataingia.Ndugu zako hawa unao watetea hapa kmmk zao wsng hawa wali shirikiana na NATO kumuangusha muarabu mwenzao.
Kuwaamini waarabu inabidi ujichomoe vyuzi kichwani.
Qatar has admitted for the first time that it sent hundreds of troops to support the Libyan rebels who overthrew Muammar Gaddafi's regime.
The Gulf state had previously acknowledged only that its air force took part in Nato-led attacks.
The revelation came as Qatar hosted a conference on the post-Gaddafi era that was attended by the leader of Libya's ruling National Transitional Council, Mustafa Abdel-Jalil, who described the Qataris as having planned the battles that paved the way for victory.