Mbona kama umepanic?
Tajiri kachokozwa kumbuka Qatar siyo Syria au Yemen au Lebanon.
Tulia utaelewa kwa nini Qatar ni tajri.
Kumbe Ritz una uelewa mdogo sana kuhusiana na haya mambo!
Utajiri wa Qatar unatokana na uchache wa watu. Lakini pato la jumla la Qatar lipo chini sana ukilinganidha na Israel. Halifikii hata nusu.
GDP per capita ya Qatar ipo juu kwa sababu watu ni wachache. Sasa linapokuja suala la vita, GDP per capita haina msaada, kilicho muhimu ni Nominal GDP.
Note this:
In 2023, Israel's nominal GDP was around $513.6 billion, while Qatar's nominal GDP was roughly $236.5 billion in the same year.
The current population of Qatar is 3,128,319 as of Sunday, September 14, 2025, based on Worldometer's elaboration of the latest United Nations data.
With a personnel strength of 16,500, Qatar's armed forces are the second-smallest in the Middle East.
Nchi ina watu milioni 3, wanajeshi elfu 16, halafu useme eti inaweza kupigana na Israel!! Kioja.
Waarabu kamwe hawawezi kuwa na muungano wa kijeshi. Mataifa ya kiarabu yana ugomvi na chuki kubwa baina yao. Washia hawawataki wasuni. Washia wakiongozwa na Iran, wanafadhili makundi ya kigaidi ili kuangusha Serikali za wasuni.
Afadhali wakazanie kuishinda Israel kidiplomasia, siyo kivita. Waarabu walivyogawanyika, si ajabu wakiingia vitani, Israel ikawatwanga wote kama ilivyokuwa 1967.