Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi kwa mtindo wa NATO

Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi kwa mtindo wa NATO

Magaidi Netanyahu na Trump eti walipanga kuwaondoa Wapalestina na kuwagawa nchi za kiarabu hamna hata nchi moja imekubali wamesema wazi hawawezi kuwaondoa Wapalestina kwenye ardhi yao hawajui la kufanya wanabomoa majengo tu😀
 
Endeleeni tu kujilizaliza hao viongozi wa magaidi bado wataendelea kuwindwa kama digidigi mpaka wauwawe tu maana waliliamusha dude wao wenyewe Oct 07,2023
wewe nishakwambia aipac hii miaka 10 mbele ni migumu sana kwao wewe endelea kufuatilia kwa karibu
 
Wazee hebu angalieni source za mtoa mada ndio maana mimi namuona ni empty headed anayejua kucopy na kupaste!
 
Mwenyezi Mungu awasimamie kwenye vita hiyo ngumu dhidi ya hao maglobalists.
 
Punguani ni mama yako aliyekuzaa! Mbona umeniquote !? Wakati mimi sijakuquote!
Wewe shoga una nyege ndiyo maana unakuja kwenye uzi wangu na kukata viuno na unawambia watu uharo😅
 
BREAKING:

Tume ya Umoja wa Ulaya itakubali kesho kuiwekea Israel vikwazo zaidi, ikiwa ni pamoja na kusitishwa kwa baadhi ya mikataba ya kibiashara.
 
Wanakumbi.

Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi cha kwa mtindo wa NATO.

Nchi za Mashariki ya Kati zinaungana kupigana na Israel pindi atakaposhambulia nchi yeyote ya Mashariki ya Kati naona kumeanza kuchamgamka sasa Netayahu kamchokoza tajri alikuwa anadhani Qatar ni kama Syria au Lebanon au Iraq.
================


View: https://x.com/globalupdates24/status/1967302629786353986?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hicho ni kikosi cha marekani cha kupambana na Iran Hamas na houth
 
Back
Top Bottom