Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi kwa mtindo wa NATO

Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi kwa mtindo wa NATO

Afisa mkuu wa Hamas Ghazi Hamad alizungumza mara ya kwanza baada ya majaribio ya mauaji ya Israel ya wajumbe wa mazungumzo:

Ghazi Hamad kwa Al Jazeera:
"Tulikuwa kwenye mkutano - timu ya mazungumzo na washauri kadhaa - wakati chini ya saa moja baada ya kuanza kuchunguza pendekezo la Marekani ambalo tulikuwa tumepokea, ghafla tulisikia milipuko mikubwa. Mara moja tuliondoka kwa sababu tulijua tangu wakati wa kwanza ulikuwa ni shambulio la bomu la Israeli."


View: https://x.com/qudsnen/status/1968358561244967405?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Marekani gaidi mjinga sana hataki Pakistani na Saudia Arabia wawe marafiki😅

Yeye na Israel ruksa kuwa marafiki na kumpa silaha kuuwa watoto wa Gaza.

Mwanamfalme wa Saudia Mohammed bin Salman, Waziri wa Ulinzi Prince Khalid bin Salman, Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif, na Mkuu wa Jeshi la Pakistan Syed Asim Munir wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutia saini Mkataba wa Ulinzi wa Kimkakati wa Saudi-Pakistan.


View: https://x.com/saudi_gazette/status/1968456884534247710?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
kwenye histori ya Mareakni Trump, kumuendekeza Netanyahu Marekani inapoteza washirika wake safi sana. Saudia, Qatar, Dubai wanaenda Pakistan.
 
Trump backs Tony Blair’s plan for 'Gaza International Transitional Authority'
——
US President Donald Trump has authorized Tony Blair to engage regional and international stakeholders in support of the former UK prime minister’s plan to create a postwar transitional authority to govern the Gaza Strip until control can be transferred to the Palestinian Authority, four sources told The Times of Israel.

The plan proposes the creation of the Gaza International Transitional Authority (GITA) along with several subsidiary structures.

A US official said that during the 27 August White House policy session, Trump made clear he was endorsing Blair’s proposal.

The official also noted that Israeli Finance Minister Bezalel Smotrich appears to be unaware of the decision, having stated on Wednesday that the Gaza Strip could be a potential real estate “bonanza” and that he was discussing with Washington how to divide the strip after the war.
 
Back
Top Bottom