Mzee wa UHARO Leo hii Sept 17,2024 Majeshi hodari ya Israel kitengo cha MOSSAD kilianzisha Operation Beeper 📟 ambayo iliua na kuwalemaza Makamanda waandamizi na askari wa Magaidi wa Hezbollah huko Lebanon wengi wao waliuwawa na wachache sana walipoteza Macho,mikono,miguu na wengine viuno baada ya Operation hiyo Hezbollah walianza kuchechemea na hatimaye kiongozi wao Mkuu Hassan Nasrallah aliangamizwa.
Mpaka sasa hivi magaidi hao wa Hezbollah wanaogopa hata kurusha jiwe Israel kwa hofu ya kuogopa Israel itawashughulikia ipasavyo!!