Katika binadamu vigeugeu hawa nao wapo.Wanakumbi.
Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi cha kwa mtindo wa NATO.
Nchi za Mashariki ya Kati zinaungana kupigana na Israel pindi atakaposhambulia nchi yeyote ya Mashariki ya Kati naona kumeanza kuchamgamka sasa Netayahu kamchokoza tajri alikuwa anadhani Qatar ni kama Syria au Lebanon au Iraq.
================
View: https://x.com/globalupdates24/status/1967302629786353986?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Namheshimu sana RiTz kwa kusimama upande wa haki na kutupa taarifa mbali mbali ambazo wengine tunakuwa hatujazipata. Ila kwa hili la waarab naona kama ameteleza bila kuwa na pakushika.Hao waarabu wangekua na umoja wasingeonewa kiasi hicho.
Hao waarabu wangekua na umoja wasingeonewa kiasi hicho.
Wanakumbi.
Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi cha kwa mtindo wa NATO.
Nchi za Mashariki ya Kati zinaungana kupigana na Israel pindi atakaposhambulia nchi yeyote ya Mashariki ya Kati naona kumeanza kuchamgamka sasa Netayahu kamchokoza tajri alikuwa anadhani Qatar ni kama Syria au Lebanon au Iraq.
================
View: https://x.com/globalupdates24/status/1967302629786353986?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
The Israeli air force can always visit Qatar for target exercises, just like they did to Hamas leaders last week.Qatar Airways has deleted โlsraeIโ from the map and replaced it with Palestinian Territories ๐๐๐ผ
check ulivyo empty kichwaniQatar Airways has deleted โlsraeIโ from the map and replaced it with Palestinian Territories ๐๐๐ผ
Mbona kama umepanic?Namheshimu sana RiTz kwa kusimama upande wa haki na kutupa taarifa mbali mbali ambazo wengine tunakuwa hatujazipata. Ila kwa hili la waarab naona kama ameteleza bila kuwa na pakushika.
Mkongwe yeyote mwenye kufuatilia siasa, vita na mambo ya ME (Middle East) hawezi kuamini hiki kilichopangwa, au kuongelewa na waarab.
Waarab ni wanafiki, waoga na wajinga. Hivyo ni ngumu sana kuwa na Umoja wa aina yoyote kwa ajili ya kumkabili adui. Ndo ile wanapanga kumshambulia Netanyahu alaf mmoja wao anampigia sim Trump kimya kimya kumtaarifu juu ya shambulio hilo. Kinachofuata ni Trump kumtaarifu Netanyahu kisha Netanyahu kwa msaada wa kambi za Marekani zilizopo katika nchi hizo hizo za kiarabu anawawahi wao kabla hawajaanza kushambulia Israel.
Habari zingine kwakweli kukimbilia kuzuiandika humu ni upuuzi mtupu.
Angalia punguani mwingine huyu.C
check ulivyo empty kichwani