Sometimes heri kuongozwa hata na shetani. Kuna mopuuzi leo katuita mbwa nasikia, sasa tutaandelea kubweka hadi watie akiliLabda hizo nchi za nje wasichukue hatua, lakini wakichukua tutawaunga mkono, hatuko tayari kuongozwa na ccm kwa shuruti.
Very poor thread only from a damaged brain.Wakuu,
Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao.
Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya 'Purported Crimes Against Humanity' ila wanalenga kutufarakanisha wapate upenyo kuingia kwa nia ya kusaidia ila ni kwa ajili ya kuvuna maliasili zetu bila kizuizi.
Kwa kuwa mgombea mmojawapo wa Urais aliyepoteza ushindi kwenda huko ughaibuni na kujiunga na wanyonyaji wakubwa kutaka kuanzishisha mashitaka dhidi ya Rais na Serikali yake amechagua njia mbaya ambayo kwa vyovyote vile hana hadhi tena ya kurudi Tanzania kwa sababu ya kugombania madaraka ya kuongoza huyo sio ndugu yetu wala sehemu ya WaTanzania tena.
Ni bora Tanzania ijitoe sasa hivi uanachama na mahakama hiyo ya ICC kwa kuwa inaonekana ipo kwa ajili ya kulipiza visasi sio kurekebisha makosa ya kiutawala. That guy is a curse to be entertained anymore including his hypocite allies.
Wapambe wote na watoa taarifa kwa hao watu wakitokea hapa Tanzania kuanzia sasa wanaombwa wajiondoe nchini haraka ili mapambano yafanyike mkiwa nje ya Tanzania.
Tanzania ni huru, ni ya Haki, in mahusiano mazuri na nchi waungwana lakini yeyote inayejiunga na wahuni walioamua kubadilisha Taswira ya nchi kwa maslahi binafsi na visasi.
Hiyo vita mnayotaka kuianzisha dhidi ya Tanzania kupitia uchochezi kwenye mitandao, vitisho vya kufungua kesi ICC, Dunia tatambua kwamba walifanya makosa kuiweka kwenye kundi la nchi za dunia ya tatu. Hakuna wa kuwagawanya WaTanzania kwa chochote wako tayari kwa chochote na mashitaka wanatakiwa kuorodhesha majina ya raia milioni 60 sio hao mnaopigia kelele Tsu-nami (Tetemeko la Bahari) halitazuiwa na nguvu ya makaratasi eti mashitaka dhidi ya binadamu are you foxes really serious or you are just ridiculing to decieve teh elites funding the evil inetnt-it won't make it, we are strong in all cycles be it on international levels, locally, socially, economically etc.
So,, immediately denounce these malicious threats or risk teh dead corpse
TANZANIA JITIOENI HARAKA
Huyu jamaa binafsi namwonea huruma njia aliyochagua pamoja na kwamba ni msomi hana uwezo wa kufanya positive decision. He can not think well at the margin. Atakuja kurudi siku moja kutubu tena kanisani kwa yote anayo yafanya. Atakuja kugundua aliyo yafanya ni kama yale aliyo yafanya SAVIMBI.Wakuu,
Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao.
Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya 'Purported Crimes Against Humanity' ila wanalenga kutufarakanisha wapate upenyo kuingia kwa nia ya kusaidia ila ni kwa ajili ya kuvuna maliasili zetu bila kizuizi.
Kwa kuwa mgombea mmojawapo wa Urais aliyepoteza ushindi kwenda huko ughaibuni na kujiunga na wanyonyaji wakubwa kutaka kuanzishisha mashitaka dhidi ya Rais na Serikali yake amechagua njia mbaya ambayo kwa vyovyote vile hana hadhi tena ya kurudi Tanzania kwa sababu ya kugombania madaraka ya kuongoza huyo sio ndugu yetu wala sehemu ya WaTanzania tena.
Ni bora Tanzania ijitoe sasa hivi uanachama na mahakama hiyo ya ICC kwa kuwa inaonekana ipo kwa ajili ya kulipiza visasi sio kurekebisha makosa ya kiutawala. That guy is a curse to be entertained anymore including his hypocite allies.
Wapambe wote na watoa taarifa kwa hao watu wakitokea hapa Tanzania kuanzia sasa wanaombwa wajiondoe nchini haraka ili mapambano yafanyike mkiwa nje ya Tanzania.
Tanzania ni huru, ni ya Haki, in mahusiano mazuri na nchi waungwana lakini yeyote inayejiunga na wahuni walioamua kubadilisha Taswira ya nchi kwa maslahi binafsi na visasi.
Hiyo vita mnayotaka kuianzisha dhidi ya Tanzania kupitia uchochezi kwenye mitandao, vitisho vya kufungua kesi ICC, Dunia tatambua kwamba walifanya makosa kuiweka kwenye kundi la nchi za dunia ya tatu. Hakuna wa kuwagawanya WaTanzania kwa chochote wako tayari kwa chochote na mashitaka wanatakiwa kuorodhesha majina ya raia milioni 60 sio hao mnaopigia kelele Tsu-nami (Tetemeko la Bahari) halitazuiwa na nguvu ya makaratasi eti mashitaka dhidi ya binadamu are you foxes really serious or you are just ridiculing to decieve teh elites funding the evil inetnt-it won't make it, we are strong in all cycles be it on international levels, locally, socially, economically etc.
So,, immediately denounce these malicious threats or risk teh dead corpse
TANZANIA JITIOENI HARAKA
Acha yatukumbe wote ili tupate akili kisawasawa. Watu wanachukulia serious simba na Yanga kuliko siasa wakati siasa ndo inaamua maisha yao.Kwan hiv haya mabaya mnayotamani yaikumbe tanzania mnadhan yakija yatawatesa tu ccm na serikali ya jiwe?
Mbona tunakua blinded kwa chuki kiasi hiki?
Serikali ya ccm inaweza sababisha matatizo lakin msoto ukija tutaumia wote kwa pamoja.
Huko mtwara sio ccm wala chadema mwenye raha kwa uvamiz wa hao magaid.
LET US ACT WISELY.
Wewe unaelewa kwamba hata hii internet unayotumia imeanzishwa na Wamarekani na inaendeshwa na Wamarekani?Wakuu,
Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao.
Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya 'Purported Crimes Against Humanity' ila wanalenga kutufarakanisha wapate upenyo kuingia kwa nia ya kusaidia ila ni kwa ajili ya kuvuna maliasili zetu bila kizuizi.
Kwa kuwa mgombea mmojawapo wa Urais aliyepoteza ushindi kwenda huko ughaibuni na kujiunga na wanyonyaji wakubwa kutaka kuanzishisha mashitaka dhidi ya Rais na Serikali yake amechagua njia mbaya ambayo kwa vyovyote vile hana hadhi tena ya kurudi Tanzania kwa sababu ya kugombania madaraka ya kuongoza huyo sio ndugu yetu wala sehemu ya WaTanzania tena.
Ni bora Tanzania ijitoe sasa hivi uanachama na mahakama hiyo ya ICC kwa kuwa inaonekana ipo kwa ajili ya kulipiza visasi sio kurekebisha makosa ya kiutawala. That guy is a curse to be entertained anymore including his hypocite allies.
Wapambe wote na watoa taarifa kwa hao watu wakitokea hapa Tanzania kuanzia sasa wanaombwa wajiondoe nchini haraka ili mapambano yafanyike mkiwa nje ya Tanzania.
Tanzania ni huru, ni ya Haki, in mahusiano mazuri na nchi waungwana lakini yeyote inayejiunga na wahuni walioamua kubadilisha Taswira ya nchi kwa maslahi binafsi na visasi.
Hiyo vita mnayotaka kuianzisha dhidi ya Tanzania kupitia uchochezi kwenye mitandao, vitisho vya kufungua kesi ICC, Dunia tatambua kwamba walifanya makosa kuiweka kwenye kundi la nchi za dunia ya tatu. Hakuna wa kuwagawanya WaTanzania kwa chochote wako tayari kwa chochote na mashitaka wanatakiwa kuorodhesha majina ya raia milioni 60 sio hao mnaopigia kelele Tsu-nami (Tetemeko la Bahari) halitazuiwa na nguvu ya makaratasi eti mashitaka dhidi ya binadamu are you foxes really serious or you are just ridiculing to decieve teh elites funding the evil inetnt-it won't make it, we are strong in all cycles be it on international levels, locally, socially, economically etc.
So,, immediately denounce these malicious threats or risk teh dead corpse
TANZANIA JITIOENI HARAKA
Ndio uone watz wengi ni empty set, wanafuata mkumbo tu na wamejaa chuki za kipumbavu wala hawajielewi. Huyo kigogo anayewajaza ujinga yeye yupo zake nje huko hata ikitokea baya halitampata, waache waendelee kuombea mabaya as if nguvu za kukabiliana nayo wanazoKwan hiv haya mabaya mnayotamani yaikumbe tanzania mnadhan yakija yatawatesa tu ccm na serikali ya jiwe?
Mbona tunakua blinded kwa chuki kiasi hiki?
Serikali ya ccm inaweza sababisha matatizo lakin msoto ukija tutaumia wote kwa pamoja.
Huko mtwara sio ccm wala chadema mwenye raha kwa uvamiz wa hao magaid.
LET US ACT WISELY.
Very strange.Inastaajabisha sana.Mungu alinusuru taifa hili.Hatuko kwenye wakat mzuriNdio uone watz wengi ni empty set, wanafuata mkumbo tu na wamejaa chuki za kipumbavu wala hawajielewi. Huyo kigogo anayewajaza ujinga yeye yupo zake nje huko hata ikitokea baya halitampata, waache waendelee kuombea mabaya as if nguvu za kukabiliana nayo wanazo
Umejipanga lakin mkuu.Au uko nje ya mipaka? Maana wengine tuko humu humu tena kms kadhaa tu toka mtwara.Tuna family na watoto n seriously juz sijalala nikishikwa na mawazo mazito sana kuhus hili jambo.Acha yatukumbe wote ili tupate akili kisawasawa. Watu wanachukulia serious simba na Yanga kuliko siasa wakati siasa ndo inaamua maisha yao.
Mtasubili saaaaana kuingia ikulu. Hao nao watarajia wafungue kesi walishashindwa hata kabla ya kufungua. Wamebaki wanabweka kama jibwa, na sisi hatuwarushii mawe tunasonga mbele. VIVA T2020 JPM KAZI INAENDELEA
Mie nimejioanga sana. Waafrika bila kupewa dozi huwa akili hazitukai sawa. Lazima awamu hii akili zitukae sawa ili tujifunze kuwa kuna maisha nje ya madhalimu CcmUmejipanga lakin mkuu.Au uko nje ya mipaka? Maana wengine tuko humu humu tena kms kadhaa tu toka mtwara.Tuna family na watoto n seriously juz sijalala nikishikwa na mawazo mazito sana kuhus hili jambo.
Mkuu, sina faida kabisa na haya niliyoandika, najuta, naomba unisamehe mkuu, naomba tuyafute, nitaanza mimi kufuta kila pahala nilpo Ku Quote, samahani Sana, staweka utani tena huu WA kijinga usio na faida yoyote
Bwana Bwana wewe..tengua kauli yako tafadhaliMie nimejioanga sana. Waafrika bila kupewa dozi huwa akili hazitukai sawa. Lazima awamu hii akili zitukae sawa ili tujifunze kuwa kuna maisha nje ya madhalimu Ccm
Acha ushamba ICC anashitakiwa individual sio TaifaWaache wakatushitaki kwenye mahakama ya ICC.
... Anashitakiwa mwanasheria mkuu kwa niaba ya serikali
.......Tunawanasheria wabobezi watatusaidia kushinda kesi zote za kutengenezwa na mabeberu
......Tuwaruhusu wapinzani watushitaki icc kwani lazima tuwashinde na hii itaonesha dunia kuwa madai ya wapinzani hayana msingi wowote.
Wewe kama kilaza wa kijani gonga like tufurahie ujinga wetu mbele ya mataifa.
Hapana mkuu, hsinifaidii chochote kutukana watu aisee, naomba mkuu unisaidie na wewe kufuta hizo ulizoni Quote, tafadhari nakuomba mkuuAhaaa ahaaa, Mkuu huku huku ndiko kwenyewe, au hutaki kutoka kwenye mwanga kuja huku kwenye giza? Huku kwenye giza sisi wengine ndio tunaona vizuri.