Mataifa ya Marekani, Umoja wa Ulaya, Japan na Mamluki wote msithubutu kuishitaki, kuweka vikwazo na kupandikiza magaidi Tanzania mtajuta

Mbona unahangaika kama kuku aliyefyekwa kichwa halafu akaachiwa! Tulia dawa iwaingei si mlijiona mko sayari ya Mars kwamba hatuwezi kuguswa!
 
Kwan hiv haya mabaya mnayotamani yaikumbe tanzania mnadhan yakija yatawatesa tu ccm na serikali ya jiwe?
Mbona tunakua blinded kwa chuki kiasi hiki?
Serikali ya ccm inaweza sababisha matatizo lakin msoto ukija tutaumia wote kwa pamoja.

Huko mtwara sio ccm wala chadema mwenye raha kwa uvamiz wa hao magaid.
LET US ACT WISELY.
 
Umeandika kwa mihemko kama umekalia kitu chenye ncha butu
 
Tuache ujinga wa kutoa mwanya kwa 'mabeberu' kutuingilia kwa kuitisha mjadala wa kitaifa kwa vyama vyote, ukweli unabaki wazi kuwa uchaguzi huu uligubikwa na ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi. Kwa upuuzi tulioufanya kwa makusudi kabisa, tunatoa mwanya kwa hayo maaifa kutuingilia na kusabibisha mtafaruku wa kiuchumi na kisiasa katk nchi yetu. Tuitane, tukae pamoja, tujadili tofauti zetu na tupatane, tukifanya hivyo hawatapata nafasi ya kutuhujumu kwa namna yoyote ile.

Hizi sarakasi na maigizo kwenye chaguzi zetu ndio chanzo cha hayo yote. Hivi unadhani sisi tunaweza kupambana na vikwazo vya hao watu? Ingekuwa rahisi kuwakabili kama wangekuwa wametofautiana kimtazamo juu ya uchaguzi wetu, uchaguzi wa mwaka huu umekuwa wa hovyo kuwahi kutokea, upuuzi hu ulianzia tangu uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji. Tusiwape mabeberu fursa ya kutuingilia, tukae, tupatane. Angalau sarakasi hizo za uchaguzi zingetoa picha ya usawa fulani kwenye ngazi ya ubunge. Vyama vilivyoridhika na uchaguzi wa mwaka huu ni vile ambavyo havitemei kupata viti bungeni maana wanajua walikuwa wasindikizaji na watfuta fursa tu lkn vyama vibngine vyote, hata NCCR wameukataa huu uchaguzi.

Vv
 
Labda hizo nchi za nje wasichukue hatua, lakini wakichukua tutawaunga mkono, hatuko tayari kuongozwa na ccm kwa shuruti.
Sometimes heri kuongozwa hata na shetani. Kuna mopuuzi leo katuita mbwa nasikia, sasa tutaandelea kubweka hadi watie akili
 
Wakuu,

Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao.

Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya 'Purported Crimes Against Humanity' ila wanalenga kutufarakanisha wapate upenyo kuingia kwa nia ya kusaidia ila ni kwa ajili ya kuvuna maliasili zetu bila kizuizi.

Kwa kuwa mgombea mmojawapo wa Urais aliyepoteza ushindi kwenda huko ughaibuni na kujiunga na wanyonyaji wakubwa kutaka kuanzishisha mashitaka dhidi ya Rais na Serikali yake amechagua njia mbaya ambayo kwa vyovyote vile hana hadhi tena ya kurudi Tanzania kwa sababu ya kugombania madaraka ya kuongoza huyo sio ndugu yetu wala sehemu ya WaTanzania tena.

Ni bora Tanzania ijitoe sasa hivi uanachama na mahakama hiyo ya ICC kwa kuwa inaonekana ipo kwa ajili ya kulipiza visasi sio kurekebisha makosa ya kiutawala. That guy is a curse to be entertained anymore including his hypocite allies.

Wapambe wote na watoa taarifa kwa hao watu wakitokea hapa Tanzania kuanzia sasa wanaombwa wajiondoe nchini haraka ili mapambano yafanyike mkiwa nje ya Tanzania.

Tanzania ni huru, ni ya Haki, in mahusiano mazuri na nchi waungwana lakini yeyote inayejiunga na wahuni walioamua kubadilisha Taswira ya nchi kwa maslahi binafsi na visasi.

Hiyo vita mnayotaka kuianzisha dhidi ya Tanzania kupitia uchochezi kwenye mitandao, vitisho vya kufungua kesi ICC, Dunia tatambua kwamba walifanya makosa kuiweka kwenye kundi la nchi za dunia ya tatu. Hakuna wa kuwagawanya WaTanzania kwa chochote wako tayari kwa chochote na mashitaka wanatakiwa kuorodhesha majina ya raia milioni 60 sio hao mnaopigia kelele Tsu-nami (Tetemeko la Bahari) halitazuiwa na nguvu ya makaratasi eti mashitaka dhidi ya binadamu are you foxes really serious or you are just ridiculing to decieve teh elites funding the evil inetnt-it won't make it, we are strong in all cycles be it on international levels, locally, socially, economically etc.

So,, immediately denounce these malicious threats or risk teh dead corpse

TANZANIA JITIOENI HARAKA
Very poor thread only from a damaged brain.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa binafsi namwonea huruma njia aliyochagua pamoja na kwamba ni msomi hana uwezo wa kufanya positive decision. He can not think well at the margin. Atakuja kurudi siku moja kutubu tena kanisani kwa yote anayo yafanya. Atakuja kugundua aliyo yafanya ni kama yale aliyo yafanya SAVIMBI.
 
Kwan hiv haya mabaya mnayotamani yaikumbe tanzania mnadhan yakija yatawatesa tu ccm na serikali ya jiwe?
Mbona tunakua blinded kwa chuki kiasi hiki?
Serikali ya ccm inaweza sababisha matatizo lakin msoto ukija tutaumia wote kwa pamoja.

Huko mtwara sio ccm wala chadema mwenye raha kwa uvamiz wa hao magaid.
LET US ACT WISELY.
Acha yatukumbe wote ili tupate akili kisawasawa. Watu wanachukulia serious simba na Yanga kuliko siasa wakati siasa ndo inaamua maisha yao.
 
Wakuu,

Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao.

Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya 'Purported Crimes Against Humanity' ila wanalenga kutufarakanisha wapate upenyo kuingia kwa nia ya kusaidia ila ni kwa ajili ya kuvuna maliasili zetu bila kizuizi.

Kwa kuwa mgombea mmojawapo wa Urais aliyepoteza ushindi kwenda huko ughaibuni na kujiunga na wanyonyaji wakubwa kutaka kuanzishisha mashitaka dhidi ya Rais na Serikali yake amechagua njia mbaya ambayo kwa vyovyote vile hana hadhi tena ya kurudi Tanzania kwa sababu ya kugombania madaraka ya kuongoza huyo sio ndugu yetu wala sehemu ya WaTanzania tena.

Ni bora Tanzania ijitoe sasa hivi uanachama na mahakama hiyo ya ICC kwa kuwa inaonekana ipo kwa ajili ya kulipiza visasi sio kurekebisha makosa ya kiutawala. That guy is a curse to be entertained anymore including his hypocite allies.

Wapambe wote na watoa taarifa kwa hao watu wakitokea hapa Tanzania kuanzia sasa wanaombwa wajiondoe nchini haraka ili mapambano yafanyike mkiwa nje ya Tanzania.

Tanzania ni huru, ni ya Haki, in mahusiano mazuri na nchi waungwana lakini yeyote inayejiunga na wahuni walioamua kubadilisha Taswira ya nchi kwa maslahi binafsi na visasi.

Hiyo vita mnayotaka kuianzisha dhidi ya Tanzania kupitia uchochezi kwenye mitandao, vitisho vya kufungua kesi ICC, Dunia tatambua kwamba walifanya makosa kuiweka kwenye kundi la nchi za dunia ya tatu. Hakuna wa kuwagawanya WaTanzania kwa chochote wako tayari kwa chochote na mashitaka wanatakiwa kuorodhesha majina ya raia milioni 60 sio hao mnaopigia kelele Tsu-nami (Tetemeko la Bahari) halitazuiwa na nguvu ya makaratasi eti mashitaka dhidi ya binadamu are you foxes really serious or you are just ridiculing to decieve teh elites funding the evil inetnt-it won't make it, we are strong in all cycles be it on international levels, locally, socially, economically etc.

So,, immediately denounce these malicious threats or risk teh dead corpse

TANZANIA JITIOENI HARAKA
Wewe unaelewa kwamba hata hii internet unayotumia imeanzishwa na Wamarekani na inaendeshwa na Wamarekani?

Na kuwashambulia Wamarekani wakati unatumia internet waliyoianzisha na wanayoi control wao ni kutimiza methali ya Kiswahili "Baniani mbaya, kiatu chake dawa"?

Anzisha internet yako ya mabua, halafu washutumu Wamarekani huko.

Hapo nitakuona serious.

Vinginevyo unacheza tu.
 
Kwan hiv haya mabaya mnayotamani yaikumbe tanzania mnadhan yakija yatawatesa tu ccm na serikali ya jiwe?
Mbona tunakua blinded kwa chuki kiasi hiki?
Serikali ya ccm inaweza sababisha matatizo lakin msoto ukija tutaumia wote kwa pamoja.

Huko mtwara sio ccm wala chadema mwenye raha kwa uvamiz wa hao magaid.
LET US ACT WISELY.
Ndio uone watz wengi ni empty set, wanafuata mkumbo tu na wamejaa chuki za kipumbavu wala hawajielewi. Huyo kigogo anayewajaza ujinga yeye yupo zake nje huko hata ikitokea baya halitampata, waache waendelee kuombea mabaya as if nguvu za kukabiliana nayo wanazo
 
Very strange.Inastaajabisha sana.Mungu alinusuru taifa hili.Hatuko kwenye wakat mzuri
 
Acha yatukumbe wote ili tupate akili kisawasawa. Watu wanachukulia serious simba na Yanga kuliko siasa wakati siasa ndo inaamua maisha yao.
Umejipanga lakin mkuu.Au uko nje ya mipaka? Maana wengine tuko humu humu tena kms kadhaa tu toka mtwara.Tuna family na watoto n seriously juz sijalala nikishikwa na mawazo mazito sana kuhus hili jambo.
 
Mtasubili saaaaana kuingia ikulu. Hao nao watarajia wafungue kesi walishashindwa hata kabla ya kufungua. Wamebaki wanabweka kama jibwa, na sisi hatuwarushii mawe tunasonga mbele. VIVA T2020 JPM KAZI INAENDELEA

Id ya septemba 2020 iko kazini.
 
Umejipanga lakin mkuu.Au uko nje ya mipaka? Maana wengine tuko humu humu tena kms kadhaa tu toka mtwara.Tuna family na watoto n seriously juz sijalala nikishikwa na mawazo mazito sana kuhus hili jambo.
Mie nimejioanga sana. Waafrika bila kupewa dozi huwa akili hazitukai sawa. Lazima awamu hii akili zitukae sawa ili tujifunze kuwa kuna maisha nje ya madhalimu Ccm
 
Mkuu, sina faida kabisa na haya niliyoandika, najuta, naomba unisamehe mkuu, naomba tuyafute, nitaanza mimi kufuta kila pahala nilpo Ku Quote, samahani Sana, staweka utani tena huu WA kijinga usio na faida yoyote

Ahaaa ahaaa, Mkuu huku huku ndiko kwenyewe, au hutaki kutoka kwenye mwanga kuja huku kwenye giza? Huku kwenye giza sisi wengine ndio tunaona vizuri.
 
Mie nimejioanga sana. Waafrika bila kupewa dozi huwa akili hazitukai sawa. Lazima awamu hii akili zitukae sawa ili tujifunze kuwa kuna maisha nje ya madhalimu Ccm
Bwana Bwana wewe..tengua kauli yako tafadhali
 
Waache wakatushitaki kwenye mahakama ya ICC.
... Anashitakiwa mwanasheria mkuu kwa niaba ya serikali
.......Tunawanasheria wabobezi watatusaidia kushinda kesi zote za kutengenezwa na mabeberu
......Tuwaruhusu wapinzani watushitaki icc kwani lazima tuwashinde na hii itaonesha dunia kuwa madai ya wapinzani hayana msingi wowote.
Wewe kama kilaza wa kijani gonga like tufurahie ujinga wetu mbele ya mataifa.
Acha ushamba ICC anashitakiwa individual sio Taifa
 
Ahaaa ahaaa, Mkuu huku huku ndiko kwenyewe, au hutaki kutoka kwenye mwanga kuja huku kwenye giza? Huku kwenye giza sisi wengine ndio tunaona vizuri.
Hapana mkuu, hsinifaidii chochote kutukana watu aisee, naomba mkuu unisaidie na wewe kufuta hizo ulizoni Quote, tafadhari nakuomba mkuu

Sioni faida ya matausi
 
Tumekuwa tukijifunza saana kutoka katika mataifa yaliyo kubali uhuni wa namna hii, na hadithi zao hazijawahi kuwa na miisho mizuri hata kidogo, Kama taifa tumeshaamua kusonga mbele, ambaye yupo tayari kufanya win-win situation aje ambaye hataki atoke.

How come, mataifa mengine yatupangie namna ya kuishi katika taifa letu, hii ni 2020 sio 1950s, dhahabu zetu, almasi zetu, mbuga zetu eti mnataka mtuitilafishe kisa tunataka tunufaike na mali zetu, afu anatokea muafrika mwenzetu anawaunga mkono wazi wazi?? Shame on him.

Taifa letu litajengwa na sisi wenyewe na sio wengine, tumeamua kusongambele na katu hatuyumbishwi na maneno na vitisho vya hao wazungu, hao vibaraka wao watapata fundisho siku moja, maana hawana historia ya kumkumbatia asiye nacho he will regret!

Kama taifa tutaendelea kuwa mfano wa kuigwa KWA mataifa mengine ya bara letu la afrika.

MUNGU IBARIKI AFRIKA,TANZANIA NA WATANZANIA WOTE TUWEZESHE KUWA NA HALI YA UZALENDO KWA TAIFA LETU.
NINAKUPENDA TANZANIA[emoji1241]
 
Back
Top Bottom