Mataifa yaipuuza Israel kuhusu UNRWA

Mataifa yaipuuza Israel kuhusu UNRWA

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Miezi kadhaa iliyopita kulitokea wimbi la Mataifa Tajiri kujitoa kufadhili Taasisi ya Kimataifa inayohusika na kuhudumia Wapalestina ya UNRWA. Taasisi hii ya UN iliundwa zaidi ya miaka 70 iliyopita kuhudumia Wakimbizi iliyopita kufuatia Majeshi ya Israel kuvamia vijiji vya Wapalestina ambao walikuwa wakiishi ktk ardhi ambayo leo lipo Taifa la Israel na kuwafanyia ukatili mkubwa hali iliyosababisha malaki kukimbilia Jordan, Misri na wengine kuishia Gaza.

Kwa muda mrefu Israel imekuwa ikiendesha kampeni kutaka UN iivunje Taasisi hii kwa sababu ktk macho ya Israel, taasisi hii inatoa Legitimacy kuwa wapo Wakimbizi wa kipalestina ambao wanastahili kuhudumiwa kama wakimbizi.

Hivi Karibuni Israel ikatoa madai kuwa kuna watumishi zaidi ya 10 wa UNRWA walishiriki ktk jaribio la Ocyober 7. Halii hii ilisababisha Mataifa wahisani Kukatisha fedha walizokuwa wanachangia.

Hata hivyo Baada ya kufanya Uchunguzi dhidi ya Madai, UN imegundua kuwa madai ya Israel yalikuwa ni uongo na imewasafisha wale watumishi.

Sasa hivi nchi zilizokuwa zimekatisha kuchangia UNRWA zimeanza tena kutoa fedha. Miongoni mwa nchi hizo ni Japan, Australia, Ujerumani n.k

Kwa hiyo Israel ilijitahidi UNRWA ife kwa kukosa funds ikafeli. Ikajiaribu kuzuia hata misaada ambayo UNRWA inatoa kwa wapalestina isiwafikie wapalestina ili wafe kwa njaa.

Kwa taarifa zaidi kuhusu UNRWA unaweza kuicheki hapa:

Usalama wa Israeli upo juu ya Waisraeli wenyewe. Kama wanaamini kuna wafanyakazi wa UNRWA wana mafungamano na Magaidi wa Hamas , Israeli iendelee kuwamaliza. Suala la kushtakiwa kwenye mahakama za kimataifa au kuwekewa vikwazo litakuja baadae wakati Israeli ikishakuwa salama 🤔
 
Miezi kadhaa iliyopita kulitokea wimbi la Mataifa Tajiri kujitoa kufadhili Taasisi ya Kimataifa inayohusika na kuhudumia Wapalestina ya UNRWA. Taasisi hii ya UN iliundwa zaidi ya miaka 70 iliyopita kuhudumia Wakimbizi iliyopita kufuatia Majeshi ya Israel kuvamia vijiji vya Wapalestina ambao walikuwa wakiishi ktk ardhi ambayo leo lipo Taifa la Israel na kuwafanyia ukatili mkubwa hali iliyosababisha malaki kukimbilia Jordan, Misri na wengine kuishia Gaza.

Kwa muda mrefu Israel imekuwa ikiendesha kampeni kutaka UN iivunje Taasisi hii kwa sababu ktk macho ya Israel, taasisi hii inatoa Legitimacy kuwa wapo Wakimbizi wa kipalestina ambao wanastahili kuhudumiwa kama wakimbizi.

Hivi Karibuni Israel ikatoa madai kuwa kuna watumishi zaidi ya 10 wa UNRWA walishiriki ktk jaribio la Ocyober 7. Halii hii ilisababisha Mataifa wahisani Kukatisha fedha walizokuwa wanachangia.

Hata hivyo Baada ya kufanya Uchunguzi dhidi ya Madai, UN imegundua kuwa madai ya Israel yalikuwa ni uongo na imewasafisha wale watumishi.

Sasa hivi nchi zilizokuwa zimekatisha kuchangia UNRWA zimeanza tena kutoa fedha. Miongoni mwa nchi hizo ni Japan, Australia, Ujerumani n.k

Kwa hiyo Israel ilijitahidi UNRWA ife kwa kukosa funds ikafeli. Ikajiaribu kuzuia hata misaada ambayo UNRWA inatoa kwa wapalestina isiwafikie wapalestina ili wafe kwa njaa.

Kwa taarifa zaidi kuhusu UNRWA unaweza kuicheki hapa:

Ifike wakati sasa hayo mashirika ya misaada yafadhilie na nchi za kiarabu na iran yenyewe sio mnataka msaidie na nchi za ulaya huku mnawaita mashoga Iran na nchi za waarabu zinatoa misaada ya kigaidi
 
Miezi kadhaa iliyopita kulitokea wimbi la Mataifa Tajiri kujitoa kufadhili Taasisi ya Kimataifa inayohusika na kuhudumia Wapalestina ya UNRWA. Taasisi hii ya UN iliundwa zaidi ya miaka 70 iliyopita kuhudumia Wakimbizi iliyopita kufuatia Majeshi ya Israel kuvamia vijiji vya Wapalestina ambao walikuwa wakiishi ktk ardhi ambayo leo lipo Taifa la Israel na kuwafanyia ukatili mkubwa hali iliyosababisha malaki kukimbilia Jordan, Misri na wengine kuishia Gaza.

Kwa muda mrefu Israel imekuwa ikiendesha kampeni kutaka UN iivunje Taasisi hii kwa sababu ktk macho ya Israel, taasisi hii inatoa Legitimacy kuwa wapo Wakimbizi wa kipalestina ambao wanastahili kuhudumiwa kama wakimbizi.

Hivi Karibuni Israel ikatoa madai kuwa kuna watumishi zaidi ya 10 wa UNRWA walishiriki ktk jaribio la Ocyober 7. Halii hii ilisababisha Mataifa wahisani Kukatisha fedha walizokuwa wanachangia.

Hata hivyo Baada ya kufanya Uchunguzi dhidi ya Madai, UN imegundua kuwa madai ya Israel yalikuwa ni uongo na imewasafisha wale watumishi.

Sasa hivi nchi zilizokuwa zimekatisha kuchangia UNRWA zimeanza tena kutoa fedha. Miongoni mwa nchi hizo ni Japan, Australia, Ujerumani n.k

Kwa hiyo Israel ilijitahidi UNRWA ife kwa kukosa funds ikafeli. Ikajiaribu kuzuia hata misaada ambayo UNRWA inatoa kwa wapalestina isiwafikie wapalestina ili wafe kwa njaa.

Kwa taarifa zaidi kuhusu UNRWA unaweza kuicheki hapa:

Sasa kwani tatizo lipo wapi hapo? Wakipuuza na yeye si anaipuuza tu huku anaendelea na kazi yake ya kuwapunguza?
 
Back
Top Bottom