Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Haya mataifa yaliyotengeneza silaha za nuclear walizitengeneza za nini kama hawana mpango wa kuzitumia? Wanakaa nazo kama mapambo tu?!
Huwa nasikia baadhi ya wachambuzi wa geopolitics wanasema Marekani/West isifanye hili au lile kwa sababu Russia, China au Korea Kaskazini itatumia silaha zake za nuclear ikiona uwepo kama taifa unatishiwa, sasa Marekani na hizo nchi za Ulaya zinamiliki silaha za nuclear za nini kama hawana mpango wa kuzitumia? Hayo si ni matumizi mabaya ya fedha!