Cold WarHaya mataifa yaliyotengeneza silaha za nuclear walizitengeneza za nini kama hawana mpango wa kuzitumia? Wanakaa nazo kama mapambo tu?!
Huwa nasikia baadhi ya wachambuzi wa geopolitics wanasema Marekani/West isifanye hili au lile kwa sababu Russia, China au Korea Kaskazini itatumia silaha zake za nuclear ikiona uwepo kama taifa unatishiwa, sasa Marekani na hizo nchi za Ulaya zinamiliki silaha za nuclear za nini kama hawana mpango wa kuzitumia? Hayo si ni matumizi mabaya ya fedha!
Haya mataifa yaliyotengeneza silaha za nuclear walizitengeneza za nini kama hawana mpango wa kuzitumia? Wanakaa nazo kama mapambo tu?!
Huwa nasikia baadhi ya wachambuzi wa geopolitics wanasema Marekani/West isifanye hili au lile kwa sababu Russia, China au Korea Kaskazini itatumia silaha zake za nuclear ikiona uwepo kama taifa unatishiwa, sasa Marekani na hizo nchi za Ulaya zinamiliki silaha za nuclear za nini kama hawana mpango wa kuzitumia? Hayo si ni matumizi mabaya ya fedha!
Huwa nikitazama movies zinazohusiana na nuclear wars naona kabisa hii kitu itakuja kujitokeza huko mbeleni, dunia inaweza kweli kupotea, ikiwa hawa jamaa watakuwa provoked kiasi cha kuzitumia, kutakuwa no living thingsHaya mataifa yaliyotengeneza silaha za nuclear walizitengeneza za nini kama hawana mpango wa kuzitumia? Wanakaa nazo kama mapambo tu?!
Huwa nasikia baadhi ya wachambuzi wa geopolitics wanasema Marekani/West isifanye hili au lile kwa sababu Russia, China au Korea Kaskazini itatumia silaha zake za nuclear ikiona uwepo kama taifa unatishiwa, sasa Marekani na hizo nchi za Ulaya zinamiliki silaha za nuclear za nini kama hawana mpango wa kuzitumia? Hayo si ni matumizi mabaya ya fedha!
Hawa watu wamejipanga ukiangalia muvi nyingi utaona kutakuwa na underground bunkers au spaceship Kwaajili ya ku accommodate watu Ili waweze ku survive kipindi cha hayo majanga hizo bunkers/spaceship zitakuwa na uwezo wa kuprovide Kila kitu cha muhimu Kwa miaka na miaka mpaka pale madhara yatakapoishaHuwa nikitazama movies zinazohusiana na nuclear wars naona kabisa hii kitu itakuja kujitokeza huko mbeleni, dunia inaweza kweli kupotea, ikiwa hawa jamaa watakuwa provoked kiasi cha kuzitumia, kutakuwa no living things
I second you manSilaha sio lazima ziwe za mapigano zingine ni deterrent.
Ni imagination tu hizo, ila kiufupi ikitokea hivyo bora kufa kuliko kuishi baada ya nuclear apocalypseHawa watu wamejipanga ukiangalia muvi nyingi utaona kutakuwa na underground bunkers au spaceship Kwaajili ya ku accommodate watu Ili waweze ku survive kipindi cha hayo majanga hizo bunkers/spaceship zitakuwa na uwezo wa kuprovide Kila kitu cha muhimu Kwa miaka na miaka mpaka pale madhara yatakapoisha