GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
MEXICO CITY - Mexico imetangaza rasmi mabadiliko makubwa katika Mahakama ambapo pamoja na mambo mengine Majaji sasa watapatikana kwa kupigiwa kura tofauti na utaratibu wa awali wa kuteuliwa.
Chanzo: habarileo_tz
Ngoja sasa nifanye tu Mpango niende Kuishi nchini Mexico na nihame Taifa ambalo Majaji huchaguliwa kwa Kujuana.
Chanzo: habarileo_tz
Ngoja sasa nifanye tu Mpango niende Kuishi nchini Mexico na nihame Taifa ambalo Majaji huchaguliwa kwa Kujuana.