INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

Brother !! Tufunge safari kuja kukuuliza swali ambalo ni straight.
Haya basi piga picha kale kasehemu tusome wenyewe.
Tumeshapata tyre bust ya tairi mpya na tukakosa kufidiwa kwa kuambiwa muda wa matumizi uliisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama una shida ya matairi njoo ofisini uangalie matairi na uone mwaka wa matengenezo mwenyewe. wateja ambao wapo serious huwa wananitafuta kwenye simu na huwa tunamalizana kwenye simu. tuna matairi mengi yapo godown sasa huo muda wa kupiga picha kila tairi na mwaka wake unanipa kazi ya ziada.
 
Hizi lugha za kizamani ndo zinawakoseshaga wateja. Unatakiwa kumhudumia mteja hata kama hayuko serious the way u term it. Unafahamu ni lini atakuwa potential customer? Muwe mnaenda japo tuition za Customer care management!!

Haya majibu makavu ni moja ya picha mbovu kabisa kwa mteja. Kama umepata muda wa kuandika thread na kuattach picha unashindwa nini kuweka anachoomba mteja?

Unafikiri wateja wote wanafanana mpaka wakupigie simu?

Unazidiwa customer care hata na Abuu muuza majeneza pale Moshi anakuambia kwa ustaarabu "karibu tenaaa mpendwa mteja....."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Izo za bridge stone ni kutoka nchi gani?
 
Aisee, bei zimechangamka kweli kweli
 
Hiyo tuition inapatikana wapi mkuu, me naihitaji sana maana soon ntakua namiliki Noah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo tuition inapatikana wapi mkuu, me naihitaji sana maana soon ntakua namiliki Noah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…