INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

Mkuu tairi size (235/55R18) inapatikana kwa Bei gani?
hizo pia hatuna mkuu. tatizo la kampuni ya bridgestone hawatengenezi size namba zote za tairi, wanatengeneza size namba ambazo ni common kwenye soko la matairi.
cheki kwa masupplier wa goodride, cheng shang na leo tyre ndio utapata size hio.
 
  • Thanks
Reactions: bdo

Shukrani
 
Habari wadau, tunauza matairi mapya ya magari aina ya bridgestone.

Bridgestone ni matairi imara na origino kutoka japan. Tunauza kwa bei inayoeleweka. Tunatoa warranti ya miaka mitano tu.

Mteja anatakiwa ajue size ya tairi anayotumia kabla hajauliza bei.

Wadau wa mikoani tunawasafirishia matairi (gharama utalipia)

Tunapatikana dar es salaam, ofisi ya tazara karibu na kiwanda cha sigara.
Piga simu - 0717518359, 0689866100.

Afsa mauzo. Quality motors ltd.

View attachment 355188
AHSANTE ;
size :225/70 R16
BEI GANI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BEI MPYA ZA MATAIRI YA BRIDGESTONE ZIMETOKA, NAZIANDAA NA KUILETA MUDA SI MREFU
 
IMG_20160708_170204.jpg
 
Back
Top Bottom