INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

zipo Bridgestone 255/60R18- bei 320,000 kwa moja. nazo zinafunga vizuri. piga simu 0689866100 nikuwekee oda.

Tafuta exactly saizi niliyokuambia ukipata nicheki pm. Na iwe tairi ya mwaka huu sio mwaka jana au juzi.
 
MATAIRI YA BRIDGESTONE ZIMESHUSHWA BEI KWAHIYO WATEJA WANGU WANITAFUTE KWENYE SIMU 0689-866100 AU 0717-518359
 
IMG_20170118_154113.jpg
 
BEI MPYA ZA BRIDGESTONE

TAIRI ZA RAV 4

BEI YA ZAMANI- 330,000

BEI MPYA- 270,000.

WARRANTI TUNATOA. TAIRI NI MPYA. WADAU WAPIGE SIMU 0689-866100 AU 0717-518359
 
ANAYEHITAJI MATAIRI YA BRIDGESTONE APIGE SIMU 0689-866100. 0717-518359

 
Habari wadau, tunauza matairi mapya ya magari aina ya bridgestone.

Bridgestone ni matairi imara na origino kutoka japan. Tunauza kwa bei inayoeleweka. Tunatoa warranti ya miaka mitano tu.

Mteja anatakiwa ajue size ya tairi anayotumia kabla hajauliza bei.

Wadau wa mikoani tunawasafirishia matairi (gharama utalipia)

Tunapatikana dar es salaam, ofisi ya tazara karibu na kiwanda cha sigara.
Piga simu - 0717518359, 0689866100.

Afsa mauzo. Quality motors ltd.

View attachment 355188
RAV 4 old model tairi yake bei gani.
 
Back
Top Bottom