Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa maswali kama hayo ni mteja mwenyewe anipigie simu aulize au mteja aje mwenyewe ofisini akague mwaka wa tairi.
kama una shida ya matairi njoo ofisini uangalie matairi na uone mwaka wa matengenezo mwenyewe. wateja ambao wapo serious huwa wananitafuta kwenye simu na huwa tunamalizana kwenye simu. tuna matairi mengi yapo godown sasa huo muda wa kupiga picha kila tairi na mwaka wake unanipa kazi ya ziada.Brother !! Tufunge safari kuja kukuuliza swali ambalo ni straight.
Haya basi piga picha kale kasehemu tusome wenyewe.
Tumeshapata tyre bust ya tairi mpya na tukakosa kufidiwa kwa kuambiwa muda wa matumizi uliisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi lugha za kizamani ndo zinawakoseshaga wateja. Unatakiwa kumhudumia mteja hata kama hayuko serious the way u term it. Unafahamu ni lini atakuwa potential customer? Muwe mnaenda japo tuition za Customer care management!!kama una shida ya matairi njoo ofisini uangalie matairi na uone mwaka wa matengenezo mwenyewe. wateja ambao wapo serious huwa wananitafuta kwenye simu na huwa tunamalizana kwenye simu. tuna matairi mengi yapo godown sasa huo muda wa kupiga picha kila tairi na mwaka wake unanipa kazi ya ziada.
Izo za bridge stone ni kutoka nchi gani?kama gari yako inafunga tairi size 235/65R17 au 255/60R18 hizo tunazo zipo stock. kwa bridgestone bei ni 525,000 kwa moja.
kama ni size 255/55R19 au 255/55R20 hizo size kwetu hatuna zimetuishia. kama unataka tairi za kichina kama goodride, ling long n.k. utapata naweza kukuunganisha kwa majirani zangu.
Aisee, bei zimechangamka kweli kweliOk kwa gari yako 2.8D. Umesema Rim size 15. Aya Nakuupa size ambazo tunazo stock na bei zake kwa rim size 15 tu.
195/65R15- 210,000 Kwa moja
205/65R15- 220,000 kwa moja
205/70/R15- 280,000 kwa moja
215/75R15- 340,000 kwa moja
215/65R15- 360,000 kwa moja
235/75R15- 390,000 kwa moja
265/70R15- 430,000 Kwa moja.
Hiyo tuition inapatikana wapi mkuu, me naihitaji sana maana soon ntakua namiliki NoahHizi lugha za kizamani ndo zinawakoseshaga wateja. Unatakiwa kumhudumia mteja hata kama hayuko serious the way u term it. Unafahamu ni lini atakuwa potential customer? Muwe mnaenda japo tuition za Customer care management!!
Haya majibu makavu ni moja ya picha mbovu kabisa kwa mteja. Kama umepata muda wa kuandika thread na kuattach picha unashindwa nini kuweka anachoomba mteja?
Unafikiri wateja wote wanafanana mpaka wakupigie simu?
Unazidiwa customer care hata na Abuu muuza majeneza pale Moshi anakuambia kwa ustaarabu "karibu tenaaa mpendwa mteja....."

JAPANIzo za bridge stone ni kutoka nchi gani?