INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

kaka mimi nakuelewa lakini umesoma posti ya jamaa??
tatizo ni hio kazi ya kupiga picha za hizo tairi, tuna matairi zaidi ya 500 yapo godown hivi simu gani inaweza kuwa na memory kubwa ya kushika picha zote 500 za matairi??? halafu jamaa mwenyewe hajaspecify anataka tairi za size gani?? yeye anataka nimwambie miaka ya tairi zote tulizonazo, hapana hio sio sawa.
mimi naona kama mteja anataka kujua mwaka wa tairi tuwasiliane kwenye simu. mimi niko serous na ninauza matairi kila siku hapa ofisini.
 
Wateja wa style ya jamaa huyo huwa wapo na ni vzr kuwa nao makini. Kuna mmoja alinikutaga ofcn zamani kdg, alikuja na lugha kavu mpaka kidogo nipanic. Nilijikaza huku akihoji maswali ka trafic aliyemeza CD.

Thanks nilimvumilia mpk mwisho na alichukua mzigo wa maana and alikuja kuwa my potential customer mpk naacha ile kazi!!

So, tujitahidi kuwa wavumilivu na hawa customers.

Hongera kwa kuuza mataili, nikifanikiwa kununua kandinga nami nitakutafuta[emoji1] [emoji1] [emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu, wateja wanabembelezwa, biashara ahitaji hasira, kumbuka wahenga walisema mteja ni mfalme. Pia kumbuka wateja hatufanani. Ukitoa majibu kama haya mtandaoni hata mimi mteja serious nianza kuogopa kukutafuta. Pia kumbuka you are not the only dealer of these items in the country.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau, tunauza matairi mapya ya magari aina ya bridgestone.
Bridgestone ni matairi imara na origino kutoka japan. Tunauza kwa bei inayoeleweka. Tunatoa warranti ya miaka mitano tu.

Mteja anatakiwa ajue size ya tairi anayotumia kabla hajauliza bei.

Wadau wa mikoani tunawasafirishia matairi (gharama utalipia)

Tunapatikana dar es salaam, ofisi ya tazara karibu na kiwanda cha sigara.
Piga simu - 0717518359, 0689866100.

Afsa mauzo. Quality motors ltd.
 



Mkuu Jumong hapo ulipo agiza faru john bili juu yangu,hahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji12] [emoji39] [emoji13] weitaaaaaa....hebu niletee faru John 10 nijinafasi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu ukishaamua kuwa mjasiriamali lzm ujifunze kauli nzuri,raia hatufanani anaweza akatokea mteja masihara meengi lkn kumbe ndio mteja mwenyewe mwingine anakuwa serious anakuzungusha zungusha hapo kwa office mara aulize hiki mara kile mwisho wa siku anapita hivi hata mia hajakuungisha,so its better to be positive kwa kila mteja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tairi size (235/55R18) inapatikana kwa Bei gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…