- Thread starter
- #341
kaka mimi nakuelewa lakini umesoma posti ya jamaa??Hizi lugha za kizamani ndo zinawakoseshaga wateja. Unatakiwa kumhudumia mteja hata kama hayuko serious the way u term it. Unafahamu ni lini atakuwa potential customer? Muwe mnaenda japo tuition za Customer care management!!
Haya majibu makavu ni moja ya picha mbovu kabisa kwa mteja. Kama umepata muda wa kuandika thread na kuattach picha unashindwa nini kuweka anachoomba mteja?
Unafikiri wateja wote wanafanana mpaka wakupigie simu?
Unazidiwa customer care hata na Abuu muuza majeneza pale Moshi anakuambia kwa ustaarabu "karibu tenaaa mpendwa mteja....."
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo ni hio kazi ya kupiga picha za hizo tairi, tuna matairi zaidi ya 500 yapo godown hivi simu gani inaweza kuwa na memory kubwa ya kushika picha zote 500 za matairi??? halafu jamaa mwenyewe hajaspecify anataka tairi za size gani?? yeye anataka nimwambie miaka ya tairi zote tulizonazo, hapana hio sio sawa.
mimi naona kama mteja anataka kujua mwaka wa tairi tuwasiliane kwenye simu. mimi niko serous na ninauza matairi kila siku hapa ofisini.