Kuna sehemu umesema 195x65x15 ya IST ni sh 180000 hapa unasema ni sh 190000 bei ipi ina ukweli?.IST INA SIZE MBILI MKUU. KUNA 195/65R15 NA 205/65R15 ZOTE BEI ZIMEPUNGUZWA. MOJA NI 190,000 TU. HIZI NI BRIDGESTONE.
price list ipo nimeshaposti kwenye huu uzi siku nyingi, lakini bei zimepunguzwa kwahiyo sijapata muda wa kuweka price list mpya. bei ya tairi ya ist ni 180,000 bosi. na mwaka wake ni 2016.Kuna sehemu umesema 195x65x15 ya IST ni sh 180000 hapa unasema ni sh 190000 bei ipi ina ukweli?.
Kwa nini usiandae list yoet ya matairi uliyonayo, ukaiweka hapa na bei zake? Mimi nina swali moja YEAR OF MANUFACTURER?
Sawa nimekuelewa boss reasonable price kwa aina hiyo ya tairi.price list ipo nimeshaposti kwenye huu uzi siku nyingi, lakini bei zimepunguzwa kwahiyo sijapata muda wa kuweka price list mpya. bei ya tairi ya ist ni 180,000 bosi. na mwaka wake ni 2016.
Toyota CARINA TI, tairi zake size gani na bei gani? Sijabadili rim zakeR15 kwa gari gani?? kuna 205/70R15, 205/65R15, 215/75R15, 215/80R15, 235/75R15. Ipi kati ya hizo Unatumia??? Nipe jibu nikupe bei.
ntakuuzia 170,000 kwa moja ukichukua 4. Jumla 680,000. hizi ni Bridgestone ziko vizuri utakaa nazo muda mrefu sana.Sawa nimekuelewa boss reasonable price kwa aina hiyo ya tairi.
carina TI mara nyingi size yake rim 14. tunazo 185/65R14 bei ni 145,000 kwa moja. kama ni size 195/70R14 hizo hatuna kwa sasa.Toyota CARINA TI, tairi zake size gani na bei gani? Sijabadili rim zake
Habari wadau, tunauza matairi mapya ya magari aina ya bridgestone.
Bridgestone ni matairi imara na origino kutoka japan. Tunauza kwa bei inayoeleweka. Tunatoa warranti ya miaka mitano tu.
Mteja anatakiwa ajue size ya tairi anayotumia kabla hajauliza bei.
Wadau wa mikoani tunawasafirishia matairi (gharama utalipia)
Tunapatikana dar es salaam, ofisi ya tazara karibu na kiwanda cha sigara.
Piga simu - 0717518359, 0689866100.
Afsa mauzo. Quality motors ltd.
View attachment 355188
Matair ya altezza ni 215/45R17 au 225/45R17 Bei ni 145,000 kwa moja. bosi.Yanayoweza kufit kwenye altezza bei ni kiasi gani?
hizo hamna bosi. nenda kwa Nas tyre wapo kipawa.Nahitaji size 245/40/R20 tyre 2
Jamani pigeni simu, hizi tairi ni hotcake sana watu wanachukua sana. halafu bei yake ni nafuu sana sio kama sehemu zingine. mnitafute kwasasa 0689-866100, 0717-518359BRIDGESTONE 275/70R16 ZINAPATIKANA SASA WADAU WAPIGE SIMU 0689-866100. MKOANI TUNASAFIRISHA.
SUMMIT NDIO TYRE PEKEE INAYO FAA AFRICA