INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

IST INA SIZE MBILI MKUU. KUNA 195/65R15 NA 205/65R15 ZOTE BEI ZIMEPUNGUZWA. MOJA NI 190,000 TU. HIZI NI BRIDGESTONE.
Kuna sehemu umesema 195x65x15 ya IST ni sh 180000 hapa unasema ni sh 190000 bei ipi ina ukweli?.
Kwa nini usiandae list yoet ya matairi uliyonayo, ukaiweka hapa na bei zake? Mimi nina swali moja YEAR OF MANUFACTURER?
 
price list ipo nimeshaposti kwenye huu uzi siku nyingi, lakini bei zimepunguzwa kwahiyo sijapata muda wa kuweka price list mpya. bei ya tairi ya ist ni 180,000 bosi. na mwaka wake ni 2016.
 
IMG_20170408_173732.jpg
 
price list ipo nimeshaposti kwenye huu uzi siku nyingi, lakini bei zimepunguzwa kwahiyo sijapata muda wa kuweka price list mpya. bei ya tairi ya ist ni 180,000 bosi. na mwaka wake ni 2016.
Sawa nimekuelewa boss reasonable price kwa aina hiyo ya tairi.
 
R15 kwa gari gani?? kuna 205/70R15, 205/65R15, 215/75R15, 215/80R15, 235/75R15. Ipi kati ya hizo Unatumia??? Nipe jibu nikupe bei.
Toyota CARINA TI, tairi zake size gani na bei gani? Sijabadili rim zake
 
Sawa nimekuelewa boss reasonable price kwa aina hiyo ya tairi.
ntakuuzia 170,000 kwa moja ukichukua 4. Jumla 680,000. hizi ni Bridgestone ziko vizuri utakaa nazo muda mrefu sana.
 
Toyota CARINA TI, tairi zake size gani na bei gani? Sijabadili rim zake
carina TI mara nyingi size yake rim 14. tunazo 185/65R14 bei ni 145,000 kwa moja. kama ni size 195/70R14 hizo hatuna kwa sasa.
 
Haya wale wadau waliokuwa wanataka size 275/70R16 na 750R16 wanipigie simu sasahivi, 0689-866100, 0717-518359 stock mpya imekuja, wahi sasa kabla hazijaisha.
 
Habari wadau, tunauza matairi mapya ya magari aina ya bridgestone.

Bridgestone ni matairi imara na origino kutoka japan. Tunauza kwa bei inayoeleweka. Tunatoa warranti ya miaka mitano tu.

Mteja anatakiwa ajue size ya tairi anayotumia kabla hajauliza bei.

Wadau wa mikoani tunawasafirishia matairi (gharama utalipia)

Tunapatikana dar es salaam, ofisi ya tazara karibu na kiwanda cha sigara.
Piga simu - 0717518359, 0689866100.

Afsa mauzo. Quality motors ltd.

View attachment 355188

Yanayoweza kufit kwenye altezza bei ni kiasi gani?
 
BRIDGESTONE 275/70R16 ZINAPATIKANA SASA WADAU WAPIGE SIMU 0689-866100. MKOANI TUNASAFIRISHA.
 
BRIDGESTONE 275/70R16 ZINAPATIKANA SASA WADAU WAPIGE SIMU 0689-866100. MKOANI TUNASAFIRISHA.
Jamani pigeni simu, hizi tairi ni hotcake sana watu wanachukua sana. halafu bei yake ni nafuu sana sio kama sehemu zingine. mnitafute kwasasa 0689-866100, 0717-518359
 
Back
Top Bottom