- Thread starter
- #221
ndio mkuu ni mil 1,500,000. hizi ni bridgestone super brand. uliza michelin bei gani kwa hio size.Tairi ya fuso kubwa 1 ndo 1,500,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio mkuu ni mil 1,500,000. hizi ni bridgestone super brand. uliza michelin bei gani kwa hio size.Tairi ya fuso kubwa 1 ndo 1,500,000
?????????,dsfzfZzj,zxuZNytsgaHfttCF:aX7ZszzzxhZ 0
sawa karibuTumewapata
bridgestone 215/60R16- 350,000 kwa moja215/60/16 ni bei gani?
bridgestone 215/60R16- 350,000 kwa moja
MABADILIKO YA BEI ZA MATAIRI YA BRIDGESTONE KATIKA DUKA LETU KWASASA
BEI NI YA TAIRI MOJA.
155R12C - 185,000/
175/70R13- 190,000/
MACHO.
Bridgestone ni kampuni ya matairi ya japan. ingia google search andika bridgestone utapata majibu.Tuna uhakika gani kama matairi hayo yanatoka Japan kweli? Nauliza kwa nia njema tu.
Bridgestone ni kampuni ya matairi ya japan. ingia google search andika bridgestone utapata majibu.
Bridgestone wana viwanda huko japan, indonesia, thailand, malaysia nk. na matairi yote yanayoingizwa nchini zina chata pembeni zimeandikwa nchi ya ilipotengenezwa.
spacio ni size 195/65R15. kwa Bridgestone ni 250,000 kwa moja. nakupa ofa ya 220,000 kwa moja ukichukua zote 4 jumla itakuwa 880,000/Nipe bei nikitaka kuvaa viatu vipya vyote kwa spacio yangu