- Thread starter
- #461
150,000 kwa moja. simu yangu 0689-866100.Mheshimiwa 195/70 14 mnayo na ni bei gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
150,000 kwa moja. simu yangu 0689-866100.Mheshimiwa 195/70 14 mnayo na ni bei gani?
zipo mkuu bei ni 270,000 kwa moja. simu 0689866100.215/70R16 unazo mkuu? Bei kiasi gani?
hizo hatuna mkuu.235/60/R16 bei gani mkuu
hizo hatuna mkuu.175/65R 16 unayo bei gani
zipo dunlop bei ni 145,000 kwa moja.215/45/R17 ziko mkuu na bei gani?
Jamani pigeni simu, hizi tairi ni hotcake sana watu wanachukua sana. halafu bei yake ni nafuu sana sio kama sehemu zingine. mnitafute kwasasa 0689-866100, 0717-518359
Tairi za size 215/70R16 ni bei gani?MZIGO MPYA WA MATAIRI YA BRIDGSTONE UMEINGIA GODOWN, WALE WADAU WALIOKUWA WANATAFUTA TAIRI ZA BRIDGESTONE, WANITAFUTE KWENYE SIMU KABLA HAZIJAISHA.
SIMU 0717-518359, 0689-866100. BEI NI POA KABISA.
TAIRI ZINAZOTAFUTWA
195R14C- TAIRI ZA PICK UP/ HIACE
195R15C- TAIRI ZA HIACE
275/70R16- TAIRI ZA PRADO/NISSAN PATROL
255/70R16- TAIRI ZA NISSAN HARD BODY/ TOYOTA PICK UP HILUX TOLEO MPYA/ISUZU DMAX
750R16- M850- TAIRI ZA CANTER/FUSO/ISUZU
750R16- D697- TAIRI ZA CRUISER
215/70R16- TAIRI ZA RAV 4/VITARA
255/70R15- LAND CRUISER PRADO OLD MODEL/LAND ROVER.
Tairi za size 215/70R16 ni bei gani?