Habari wadau, tunauza matairi mapya ya magari aina ya bridgestone.
Bridgestone ni matairi imara na origino kutoka japan. Tunauza kwa bei inayoeleweka. Tunatoa warranti ya miaka mitano tu.
Mteja anatakiwa ajue size ya tairi anayotumia kabla hajauliza bei.
Wadau wa mikoani tunawasafirishia matairi (gharama utalipia)
Tunapatikana dar es salaam, ofisi ya tazara karibu na kiwanda cha sigara.
Piga simu - 0717518359, 0689866100.
Afsa mauzo. Quality motors ltd.
View attachment 355188
Hiyo warranti ya miaka mitano noma sana. Life span ya tairi ni miaka minne, warranti inazidi life span. Ama ulimaanisha miezi mitano? Sina uhakika kama nikifunga hizo tairi kwenye gari zitadumu kipindi kimoja cha rais wa tanzania madarakani. Hebu fafanua vizuri.