INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

mkuu nijuze bei ya 18.4-30, nafahamu zipo tofauti tofauti katka size hiyo ila npe bei zake
 
Msaada
Nahitaji kufunga tairi size 225/70R 16 au 225/75R 16 kwenye NISSAN XTRAIL, ipi ni nzuri kati ya hizi?
 
Habari wadau, sasa tunawaletea brand mpya ya matairi ya yokohama na luxman baada ya kuuza sana matairi ya bridgestone.

Yokohama ni matairi imara na origino kutoka japan. Tunauza kwa bei inayoeleweka. Tunatoa warranti.

luxman ni matairi kutoka china. ni matairi imara na ni nzuri kwa wapenda bajeti.

Mteja anatakiwa ajue size ya tairi anayotumia kabla hajauliza bei.

Wadau wa mikoani tunawasafirishia matairi (gharama utalipia)

Piga simu - 0717518359, 0689866100, 0767-379 412

Kwasasa tunauza matairi ya YOKOHAMA GEOLANDER na LUXMAN

KARIBUNI

View attachment 705139
Bado yapo
 
Back
Top Bottom