INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

Unaposema mpya, yametengenezwa mwaka na wiki ya ngapi?
sasa inategemea kila tairi ina tarehe yake, kuna ya wiki 21, wiki ya 10. ila cha msingi ni mwaka ndio unaozingatiwa zaidi.
 
sasa inategemea kila tairi ina tarehe yake, kuna ya wiki 21, wiki ya 10. ila cha msingi ni mwaka ndio unaozingatiwa zaidi.
Bado hujajibu swali na ndio maana nikakuuliza ni ya mwaka gani?
 
wakati mwingine mnapiga simu ili kuraihisisha maswali yenu ili mpate majibu papo papo. kujibu online nachukua muda maana mchana nakuwa bize na godown.
 
KWASASA TUNAUZA MATAIRI YA YOKOHAMA NA LAXSHMAN. wadau wapige simu 0689-866100, 0717-518359, 0767-379 412.
 
IMG_20180302_085510.jpg
 
Hiyo warranti ya miaka mitano noma sana. Life span ya tairi ni miaka minne, warranti inazidi life span. Ama ulimaanisha miezi mitano? Sina uhakika kama nikifunga hizo tairi kwenye gari zitadumu kipindi kimoja cha rais wa tanzania madarakani. Hebu fafanua vizuri.
mtoa mada ni dalali/mpiga debe kamezeshwa
 
Back
Top Bottom