Tetesi: Matajiri kuhama Bongo..

Wahame tubaki na nchi yetu ya walala hoi tulipao kodi.
 
Wahame tubaki na nchi yetu ya walala hoi tulipao kodi.
We unalipa Sh. ngapi....Tuache masihara Kina Papaa na Kagame kuikimbia bandari tu,wanasiasa wana tapatapa.
 
umesoma mpaka darasa la ngapi?am sorry ila am doupting na uwezo wako wakufikili?unageneralize,thats no good way of reasoning,haya wewe unafanya biashara gani?naniambie sera ya nchi kuhusiana na hicho unachokifanya?
wafanyabiashara wengi hasa hawa wadogo wengi hawafanyi biashara kwa nidhamu, nidhamu ndio kila kitu kwenye kazi....kama una bisha wewe ndio una tatizo
 
niliposhuhudia Bakharesa anashushia mizigo yake Beira na Mombasa na baadae ile anayotaka kuileta Tanzania anaipitishia Tunduma na Holili na baada ya kulipa kodi anasema kuna unafuu nikajua TANZANIA yangu imeingia chaka
 
Maneno ya ule wimbo yanajirudia rudia masikioni mwa wengi.

Naomba tujikumbushe japo kiitikio

Wacha waisome namba eeeeee.....
 

Mwenye macho ha ambiwi.............................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…