Matajiri kumi Tanzania ni hawa

Matajiri kumi Tanzania ni hawa

Umegusa ukweli kwa 100%. Hizi nywele ngumu ni shida. Yaani mtu akishapata mali anafurahi sana kuona ndugu zake wakiteseka ,kujikomba, kujinyenyekesha kwake wakiomba msaada. Yeye kwake ni fahari....
Inategemeana na ndugu unaotaka kuwasaidia wakoje upstair. Kama ni kusaidiana mbona inasemekana NEOPOTISM ni kubwa sana serikalini?

Kuna thread iliwahi kuwekwa humu ikajaribu kuchanganua faida na hasara za kusaidiana kwa waafrika hasa watanzania. Kiujumla ilionekana ni kweli hatusaidiani na wengine wanasaidia maisha yao yote si kwa chakula hata kwa kutafuatiana mitaji, kazi na biashara.Lakini kuna kasumba moja pia pale ambapo ukiegemea sana kusaidia na mwishowe ukachacha ama kustaafu bila kitu (hii ni subjective pia), ni hao hao ndugu wenye kusema aliishia ku-spend tu na mke wake, malaya, ona sasa hana chochote. Utajuta!!! Uliowasaidia ndo watakaokusimanga.

Kuonesha tu kuwa kuna kusaidiana ama kubebana tujikumbushe thread za kupeana kazi BOT, NSSF, PPF, TISS, etc hapa nchini.
 
Nyie bishaneni tu nani tajiri wa kwanza muone kama itawapa ugali...
 
Mbona hamna Muhaya hata mmoja? Hiyo orodha ni fake maana haiwezekani Mtu anakwambia milioni 10 ni hela za mboga halafu wasiwemo hapo.

Ali Mufuruki ni kabila yako. Acha mawazo ya ukabila waza maendeleo.
 
Hawa ni Matajiri kumi Tanzania, kutokana na survey ya Bongoland wanane ni watanzania wenye imani ya kislam wenye asili ya kiasia, wawili tu ndio wakristo na hao ndio wenye asili ya Kiafrika...,Kwanini watanzania wenye asili ya Kiafrika wako kidogo katika kumiliki utajiri wa Tanzania...

Umemaliza!?
 
Siunaona akina Rugenalila kuwa na IPTL analazimika kuhonga watu kibao.Kuna jamaa alitaka kufungua chuo cha famasia mtoa vibali akanlazimisha afanye ubia jama kakataa naye akamyima kibali.
 
Inategemeana na ndugu unaotaka kuwasaidia wakoje upstair. Kama ni kusaidiana mbona inasemekana NEOPOTISM ni kubwa sana serikalini?

Kuna thread iliwahi kuwekwa humu ikajaribu kuchanganua faida na hasara za kusaidiana kwa waafrika hasa watanzania. Kiujumla ilionekana ni kweli hatusaidiani na wengine wanasaidia maisha yao yote si kwa chakula hata kwa kutafuatiana mitaji, kazi na biashara.Lakini kuna kasumba moja pia pale ambapo ukiegemea sana kusaidia na mwishowe ukachacha ama kustaafu bila kitu (hii ni subjective pia), ni hao hao ndugu wenye kusema aliishia ku-spend tu na mke wake, malaya, ona sasa hana chochote. Utajuta!!! Uliowasaidia ndo watakaokusimanga.

Kuonesha tu kuwa kuna kusaidiana ama kubebana tujikumbushe thread za kupeana kazi BOT, NSSF, PPF, TISS, etc hapa nchini.

Mcharo hajatokezea kwa hiyo list nadhan itakuwa falke
 
Utajiri usio shaka ni kuwa na afya njema na hazina ya busara bila kusahau moyo wa kujali wengine...hayo mengine ni mapambo ya ulimwengu tu...
 
Umegusa ukweli kwa 100%. Hizi nywele ngumu ni shida. Yaani mtu akishapata mali anafurahi sana kuona ndugu zake wakiteseka ,kujikomba, kujinyenyekesha kwake wakiomba msaada. Yeye kwake ni fahari....

tunapenda kudharirishana sana wa tz co kusaidiana
 
Inategemeana na ndugu unaotaka kuwasaidia wakoje upstair. Kama ni kusaidiana mbona inasemekana NEOPOTISM ni kubwa sana serikalini?

Kuna thread iliwahi kuwekwa humu ikajaribu kuchanganua faida na hasara za kusaidiana kwa waafrika hasa watanzania. Kiujumla ilionekana ni kweli hatusaidiani na wengine wanasaidia maisha yao yote si kwa chakula hata kwa kutafuatiana mitaji, kazi na biashara.Lakini kuna kasumba moja pia pale ambapo ukiegemea sana kusaidia na mwishowe ukachacha ama kustaafu bila kitu (hii ni subjective pia), ni hao hao ndugu wenye kusema aliishia ku-spend tu na mke wake, malaya, ona sasa hana chochote. Utajuta!!! Uliowasaidia ndo watakaokusimanga.

Kuonesha tu kuwa kuna kusaidiana ama kubebana tujikumbushe thread za kupeana kazi BOT, NSSF, PPF, TISS, etc hapa nchini.

minaamini kama ulikua mtu wakusaidia ndugu zako nakuwapa muongozo wamaisha kama ww ulivo fanikiwa(utaratibu ambao wengi hatuna). hawawez kukusimanga pale utapofirisika labda ulikua na element mbili...lakini wengi wetu tunapenda kuambia ndugu zetu komaa na ww utatoka sio unakalia uvivu tu lkn hupewi somo...
 
Mohammed Dewji ndo tajiri namba moja Tanzania sio Bakheressa.Angalia link ya forbes hapo chini

Mohammed Dewji - Forbes

Hizo sio mali za MO dewji ni mali za familia ya dewji kuanzia wakina mzee gulam na wana familia wengine ila muangalie mengi hakuna cha mali za baba wala babu zote katafuta yeye
 
Mbona Mimi hamjanitaja Nina utajiri Wa dola bilioni mia name hamsini na saba au kwa vile sina media?
 
Mcharo hajatokezea kwa hiyo list nadhan itakuwa falke

Mcharo alifilisiwa baada ya kushindwa kulipa deni alilikopa. Yupo tu mtaani, labda tikiweka list ya watu maskini zaidi tanzania Mcharo atakuwa kwenye kumi bora
 
Mbona hamna Muhaya hata mmoja? Hiyo orodha ni fake maana haiwezekani Mtu anakwambia milioni 10 ni hela za mboga halafu wasiwemo hapo.

Hii listi ni wafanyabiashara wenye mifumo rasmi ya kupata fedha na zinapitia benki bila kificho. Kama wangeweka pia orodha ya waajiriwa au wanasiasa waliopata fedha za wizi lazima wangekuwepo wengi
 
Siunaona akina Rugenalila kuwa na IPTL analazimika kuhonga watu kibao.Kuna jamaa alitaka kufungua chuo cha famasia mtoa vibali akanlazimisha afanye ubia jama kakataa naye akamyima kibali.

Rugemalila ni namba ingine
huyu jamaa anakuhonga unaenda kushtakiwa peke yako na hakuna wa kumfuata
saa hizi anakula pesa yake taaratibu na ya Mabibo Wine anakamua pia
jamaa yangu chabuso sijui kwa nini hujamuweka huyu Nshomile katika matajiri wanaokamua kiulaini kuliko Dewji
attachment.php

anarekebisha sura bila hofu na kinywaji chake huku waliohongwa wanashtakiwa na kina vijisentu wanagoma kuhojiwa na Jaji Msumi
 
Attachments

  • RUGEMALILA VIP.jpg
    RUGEMALILA VIP.jpg
    77.1 KB · Views: 745
Umegusa ukweli kwa 100%. Hizi nywele ngumu ni shida. Yaani mtu akishapata mali anafurahi sana kuona ndugu zake wakiteseka ,kujikomba, kujinyenyekesha kwake wakiomba msaada. Yeye kwake ni fahari....

Hukumbuki wengine wakiona ndugu yao kafanikiwa ndo wanajiachia, kusoma hawasomi kwa sababu wanadhani mali za ndugu yao ni zao pia.

Kubebana ndo kunaleta umasikini.

Mbongo akija anataka mtaji, ukimpa baada ya mwezi mmoja utasikia ana wanawake 17.

Tusirudishane nyuma kabisa. Wenzetu wahindi wakishikwa wanashikamana, sisi tukibebwa tunamtekenya aliyetubeba.
 
Back
Top Bottom