masatujr1985
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,980
- 784
Inategemeana na ndugu unaotaka kuwasaidia wakoje upstair. Kama ni kusaidiana mbona inasemekana NEOPOTISM ni kubwa sana serikalini?Umegusa ukweli kwa 100%. Hizi nywele ngumu ni shida. Yaani mtu akishapata mali anafurahi sana kuona ndugu zake wakiteseka ,kujikomba, kujinyenyekesha kwake wakiomba msaada. Yeye kwake ni fahari....
Kuna thread iliwahi kuwekwa humu ikajaribu kuchanganua faida na hasara za kusaidiana kwa waafrika hasa watanzania. Kiujumla ilionekana ni kweli hatusaidiani na wengine wanasaidia maisha yao yote si kwa chakula hata kwa kutafuatiana mitaji, kazi na biashara.Lakini kuna kasumba moja pia pale ambapo ukiegemea sana kusaidia na mwishowe ukachacha ama kustaafu bila kitu (hii ni subjective pia), ni hao hao ndugu wenye kusema aliishia ku-spend tu na mke wake, malaya, ona sasa hana chochote. Utajuta!!! Uliowasaidia ndo watakaokusimanga.
Kuonesha tu kuwa kuna kusaidiana ama kubebana tujikumbushe thread za kupeana kazi BOT, NSSF, PPF, TISS, etc hapa nchini.