shegacool2015
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 394
- 133
Ksij sio kampuni bali ni dini...huyo sabodo kama sikosei ndio miliki wa wa Colosseum apprtmnt opost golden tulip
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii listi ni wafanyabiashara wenye mifumo rasmi ya kupata fedha na zinapitia benki bila kificho. Kama wangeweka pia orodha ya waajiriwa au wanasiasa waliopata fedha za wizi lazima wangekuwepo wengi
Hiyo list mbona imeshapitwa na wakati jombaaaa.Mwaka 2014 Rostam Aziz alikuwa wa kwanza kwa utajiri wa $1bn,Akifuatiwa na Bakhresa na Dewji halafu Mengi na Ali Mafuruki.Hebu fuatilia vizuri kwenye forbes.
Mwaka huu Mohamed Dewji ametajwa kuwa kijana mwenye pesa mingi barani Afrika na amefikia utajiri wenye thamani $1bn.
Usikurupuke fuatilia vizuri hiyo orodha ni ya zamani sana.
Afu MO katika utajiri wake Takribani zaidi Us$400 million amekopa mwaka jana na mwaka huu, sasa sijui na debts zinahesabika kama sehemu ya utajiri au ni liabilities zile?
Umegusa ukweli kwa 100%. Hizi nywele ngumu ni shida. Yaani mtu akishapata mali anafurahi sana kuona ndugu zake wakiteseka ,kujikomba, kujinyenyekesha kwake wakiomba msaada. Yeye kwake ni fahari....
Mbona Mimi hamjanitaja Nina utajiri Wa dola bilioni mia name hamsini na saba au kwa vile sina media?
Vipi kuhusu Mengi mkuu
tuna kitu cha kujifunza toka kwa hawa jamaa, waarabu shule ndogo lakini wanajua kujipanga ki maisha.waarabu wanasystem nzuri yakukuzana kiuchumi kama familia au ukoo..unaweza ukapewa mtaji na familia yako ukaanza maisha...lkn wabongo unapewa hela ya msosi tu kama unashida...na hata tushazoea ukienda kwa ndugu hauombi mtaji unaeleza shida tu......ndo mana unakuta kunamatajiri mjini lkn kijijini kwao kwenye ukoo kunawatu wanateseka kimaisha lkn msosi hawakosi....ndomana wanasema Tanzania huwezi kufa na njaa lkn utakufa na umaskini.....
Hiyo list mbona imeshapitwa na wakati jombaaaa.Mwaka 2014 Rostam Aziz alikuwa wa kwanza kwa utajiri wa $1bn,Akifuatiwa na Bakhresa na Dewji halafu Mengi na Ali Mafuruki.Hebu fuatilia vizuri kwenye forbes.
Mwaka huu Mohamed Dewji ametajwa kuwa kijana mwenye pesa mingi barani Afrika na amefikia utajiri wenye thamani $1bn.
Usikurupuke fuatilia vizuri hiyo orodha ni ya zamani sana.
Asante mzee lakini nafikiri imekosea kidog Mohamed Dewji hakutajwa kuwa tajiri mwenye pesa nyingi barani Afrika bali ametajwa kuwa jeje ni tajiri kijana katika bara la Afrika
Ili uwe na amani na furaha ktk maisha yako ucwaweke kwenye mawazo hao