Matajiri na wanafamilia wengi wa kibongo hawaigi mfano huu wa malezi

Bushoke kapiga sana hapa ila Leo akiulizwa anaweza sema hamjui pesa bhana
 
browse.php

m3.jpg

Jacqueline Ntuyabaliwe-Mengi is a former Miss Tanzania. She started off her career as a singer, later won the Miss Tanzania beauty contest and subsequently represented her country at the Miss World pageant.

She is married to Tanzanian billionaire entrepreneur Reginald Mengi and are blessed with twin boys.

They said...Every successful black man want to spend his money in the country of his colonial master. What a shame for this phd holder..alishindwa kwenda serengeti,katavi,mkomazi,ngorongoro,kilimanjaro?? Kazi kupaisha ulaya uku afrika for what??
 
amemaliza kote huko.
 
What a logical question!

Nianze kwa kusema mwanzoni kabisa kuwa wote wawili Mungu na Shetani wana uwezo wa kumpa mtu mafanikio. Itakushtua kusikia kuwa Shetani ana uwezo wa kufanya mtu kuwa tajiri lakini ndivyo ilivyo na hata Yesu analijua hilo. Na kuhakikisha hili yatupasa kuangalia maandiko yanasema nini?

Kwenye Mathayo 4:1-12, tunaona Yesu anachukuliwa na Roho Mtakatifu hadi nyikani ili ajaribiwe. Anafunga kwa siku 40 na akiwa katikati Shetani anamtokea na kumwambia afanye mambo kadhaa ambayo obviously ni kinyume na mapenzi ya Mungu, lakini anatumia Neno la Mungu kupangua hoja zote.

Sasa the most interesting part ya mazungumzo yao ni pale anapomchukua Yesu mpaka mlimani na kumwonyesha "milki zote za ulimwengu na fahari yake". (Note that phrase "na fahari yake"). Baada ya kumwonyesha hayo, Shetani anamwambia "Haya yote nitakupa ukinisujudia". Jibu la Yesu ni imeandikwa "msujudie Bwana Mungu wako na umwabudu yeye". Baada ya hapo Shetani anaondoka.

Sehemu nyingine katika Biblia inayotuonyesha Shetani ana mamlaka katika ulimwengu huu ni katika Yohana 14:30 pale ambapo Yesu anawaaga wanafunzi wake kabla ya mateso. Yesu anasema "Mimi sitasema mengi tena kwa maana yuaja mkuu wa ulimwengu huu" Mkuu wa ulimwengu huu ni nani? Ni Shetani.

So mpaka hapo utaona binadamu anakuwa under the control of a certain type of spiritual force ili kuendesha maisha yake hapa duniani. In other words, yote tunayoyaona kwa macho duniani yanatokea kwasababu kuna nguvu fulani ya kiroho nyuma yake. Tumeshaiona moja ya nguvu hizo ni nguvu ya kishetani. Nguvu nyingine ni ipi?

You guessed it. Nguvu nyingine ni nguvu ya Mungu kupitia mwanae Yesu Kristo. Yes, Mungu naye ana uwezo wa kuleta mafanikio. Biblia hiyohiyo inasema katika 1 Nyakati 29:12-13 kuwa "Utajiri na heshima hutoka kwako wewe, nawe watawala juu ya vyote na mkononi mwako mna uweza na nguvu..." Lakini katika 2 Wakorintho 8:9-10 Mtume Paulo anasema Yesu Kristo aliishi maisha ya kimasikini, ingawa alikuwa tajiri. Aliishi maisha hayo ili kupitia yeye sisi tuwe matajiri. Lakini tukirudi katika Agano la Kale tunakutana na Ibrahimu. Wote tunajua jinsi Ibrahimu alivyoishi maisha ya kitajiri hadi akafikia hatua ya kuunda jeshi lake mwenyewe. (Yaani alimiliki a private army yeye mwenyewe). Lakini pia aliweza kumiliki mifugo, fedha, na dhahabu nyingi sana. Soma hii katika Mwanzo 13:2

Biblia ina mifano mingi sana ya watu waliofanikiwa katika maisha yao kutokana na kumtegemea Mungu au mifano ya jinsi gani ambavyo Mungu anapenda tufanikiwe kifedha na kiuchumi. Yes, Mungu anapenda sana tufanikiwe katika kila eneo la maisha yetu iwe ni afya, familia nzuri, mashamba, magari na lolote utakalo.

Labda sasa utajiuliza kuna tofauti gani kati ya mafanikio ya Mungu na yale ya Shetani? Well, jibu la swali hili linapatikana kwenye nini hao wawili wanataka kufanikisha katika maisha yako.

Lengo kuu la Shetani ni KUHARIBU. Biblia sehemu moja inasema mwizi haji ila aibe na kuharibu. Ila mimi nimekuja ili muwe na UZIMA tena muwe nao tele. So the difference is KUHARIBU na UZIMA.

Shetani anampomtajirisha mtu anataka aende naye motoni siku ya hukumu. Kwa maana hiyo Shetani atatumia mbinu yoyote rahisi ili akufanye upate utajiri ili umuone mzuri kwa muda lakini yeye malengo yake muende motoni. Unaweza kuona kwenye mfano wetu wa awali kabisa anapimwambia Yesu amsujudie tu halafu atampa milki yote ya ulimwengu. Eti kirahisirahisi tu mtu unapata mali za dunia nzima kwasababu tu umemsujudia Shetani. Hujiulizi mara mbilimbili?

On the other hand, Mungu anakupa utajiri kama matokeo ya mtu ambaye roho yake imejengeka kwenye misingi ya NENO lake. Mungu anakutajirisha kwasababu wewe umeshakubali kuwa mtoto wake kwa kumkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako na hivyo kuwa tayari kwaajili ya kurithi naye Ufalme wake. Mungu hakupi utajiri kama rushwa kama afanyavyo Shetani bali anakupa kama ishara ya PENDO lake kwako. Kwahiyo utaishi maisha ya kitajiri hapa duniani, lakini muhimu kuliko yote utafanikiwa kuishi naye katika Ufalme wake ule ujao milele na milele.

Sasa kipi bora, kukubali maisha yako yaongozwe na Shetani halafu uishie motoni au kuwa mvumilivu kwa kukubali kuongozwa na Mungu kupitia mtoto wake Yesu Kristo ili uishi vizuri hapa duniani lakini pia mbinguni pale ambapo maisha yako duniani yatakuwa yamefika ukomo.

You are the one to make that decision by accepting Jesus as your LORD and your SAVIOR. Na wakati ni sasa!

Nadhani Mungu amenitia nguvu kukusaidia katika swali lako kwa kiasi fulani.
Umechapa Injili hapa aisee
 
Being a billionaire without Jesus is nothing. Money only brings a temporary happiness, but in order to have an eternal joy, there's no way other than surrendering your life to Jesus. That's the fact, like it or dread it.
Nani amekwambia kuwa hawana eternal joy?.
 
Being a billionaire without Jesus is nothing. Money only brings a temporary happiness, but in order to have an eternal joy, there's no way other than surrendering your life to Jesus. That's the fact, like it or dread it.
Hii umekopy wapi ? weka source
 
Mimi nachoona hapo ni tafuta hela ukiwa na mke A, zaa nae watoto ukishapata pesA tafuta mke B mbichi mbichi hata kama ana umri wa mwanao fanya nae maisha....life is a bitch it always comes back to haunt you....
 
Hii style yako ya kutafuta mume nimeipenda, endelea kuuza cv dear! Bado hatujapata pesa ya mahari mama...
 
Kwa wanaume wenzangu, swala sio kutafuta mke mmbichi, ni kuzaa na binti anayeyajua maisha (mwenye maadili/self esteemed) ,great upstairs na ambae yupo real...We unafikiri mkurugenzi alikurupuka tu? Kwani hakumuona wema sepetu and the like? Tatizo Jaqueline was more real and proved to have class thats why Mkurugenzi akaamua kumpa maisha ya ndoto zake!

Sipati picha ili zali angelipata yule coomer kibuyu jinsi alivyo mswahili na ambavyo ange bluff ulimwengu mzima na kusambaza picha za faragha akiwa na ceo kwa social networks awatambie wenzie, mwisho wa siku ange blow out the chance kabisa!

Finally, liwe somo kwa mabinti wengine pia, keeping it lowkeys ni huwa inasaidia sana maishani na hukuweka karibu na fursa kubwa zaidi ya kumpata mwanaume sahihi kwa muda sahihi...Kuliko kuishi maisha feki ukitumia umalaya kama mtaji mwisho wa siku utaangukia kwenye vibaya vyajitembeza which will likely be more ugly...Kuolewa na Zimba sio kitu cha masihara aisee mwacheni mwenzenu ale matunda ya kuwa appreciated for who she is...5 star lifestyle!!!
 
Mimi nachoona hapo ni tafuta hela ukiwa na mke A, zaa nae watoto ukishapata pesA tafuta mke B mbichi mbichi hata kama ana umri wa mwanao fanya nae maisha....life is a bitch it always comes back to haunt you....
Pesa huleta furaha kwa njia nyepesi kuliko njia nyingine yeyote na hio ndio point ya msingi...
I don't agree with people who say money can't buy happiness because chochote kiitwacho kitu utachopenda kina thamani sawa na kiwango flani cha fedha.Ni utu tu ndio haununuliki kwa fedha which is obviously one out of million things,only one exceptional thing that can rarely be taken into consideration!
 
Being a billionaire without Jesus is nothing. Money only brings a temporary happiness, but in order to have an eternal joy, there's no way other than surrendering your life to Jesus. That's the fact, like it or dread it.
Huku ni kujifajiriji. Kwa mfumo wa sasa wa maisha hapa duniani Fedha ni karibu kila kitu au naweza sema asilimia 90 tunaendeshwa na nguvu ya fedha.
 
Back
Top Bottom