Matajiri punguzeni Tambo mnatuua kisaikolojia vijana

Matajiri punguzeni Tambo mnatuua kisaikolojia vijana

Mamujay

Senior Member
Joined
Dec 24, 2022
Posts
149
Reaction score
345
Elon Musk Jana amenipa hasira Sana ,yani kumbe sio wakina Diamond tu ,mo nawengine wengi kumbe mpaka majuu aisee punguzeni dozi hii matajiri mtatuua na mawazo

Screenshot_20230222-104915.png
 
Hilo dongo kapigwa nani? tajiri kumiliki kampuni ya mtandao na wewe unaweza kujikuta unashinda mtandaoni unapiga ngenga na sisi akina pangu pakavu.....
 
Hivi wapi mitaji inapatikana bila mbambamba nyingi?
Maana idea zipo zimepaki na hazina implementation kutokana na mitaji ya kujiendesha.
 
Back
Top Bottom