Kamanda ntarud next season.. Corona imeharibu Sana.. saiv team zinacheza Kwa tensions Sana.. ona Leipzig anavyozengua aiseee..
Mimi currencies naachananazo nipo na indices tuDah wazee wa Boom na Crash... Pamoja na volatility... Safi sana
hahahaha nantombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeHaters... fainali uzeeni. Tatizo watanzania mnachukia sana maendeleo.
Mi kuna Forum za majuu huko yaani namna wanavoapproach mambo ni tofauti kabisa na huku. Hususani kwenye hii issue ya Forex yaani its different.
Mtu mwenyewe aneyekebehi watu na kuwananga wanaojitahidi kuifahamu Forex, unakuta 24/7 yupo kwenye social media hafanyi cha maana halafu mtu huyu huyu anajeuka kuwa haters kwa wenzake wanaokakamaa kwenye financial markets.
Hizi negativity hazitakufikisheni mahali.. Endeleeni na uchawi wenu. Ila jua kwamba somebody somewhere is making a life from financial markets. Period
Ulivyosema mpaka sasa ..nikajua umepigwa loss ya kufa mtu kumbe ki laki nne tu?? Pambana bado sana.Mpaka sasa nimepigwa loss ya laki nne toka mwaka Jana December ila siiachi hii kitu wakubwa
Boss umesema kweli kabisa.Haters... fainali uzeeni. Tatizo watanzania mnachukia sana maendeleo.
Mi kuna Forum za majuu huko yaani namna wanavoapproach mambo ni tofauti kabisa na huku. Hususani kwenye hii issue ya Forex yaani its different.
Mtu mwenyewe aneyekebehi watu na kuwananga wanaojitahidi kuifahamu Forex, unakuta 24/7 yupo kwenye social media hafanyi cha maana halafu mtu huyu huyu anajeuka kuwa haters kwa wenzake wanaokakamaa kwenye financial markets.
Hizi negativity hazitakufikisheni mahali.. Endeleeni na uchawi wenu. Ila jua kwamba somebody somewhere is making a life from financial markets. Period
Kama huelewi achananayo maana utapigwa vibaya mnoo.hivi ukiw aunatrade VIX unakua unatrade nini hasa mana hua sielewi...
Ontario yupo kule Instagram anaendelea kukamata maboya daily
Mkuu, Fanya Tuplan MeetingUngekua unawauliza FOREX TRADERS wote ningekujibu vizuri kabisa ILA kwa sababu unawauliza wale walio fundishwa na unaye muita ONTARIO basi sina cha kukujibu.
Sir jeff denisAnaitwa nani huko imsta.
Unamfuatilia sana uyo jamaa Mkuu.Sir jeff denis
Mpaka sasa nimepigwa loss ya laki nne toka mwaka Jana December ila siiachi hii kitu wakubwa
Nimfatilie ili iweje?Unamfuatilia sana uyo jamaa Mkuu.
Mkuu pride haijawai kuwa na faida zaidi ya moyo...fanya kile unachopenda bila kuangalia watu.Nimfatilie ili iweje?
Nimem follow naangalia anavowapeleka chaka ili nipate cha kuwasimulia
Vipi umeshafanikiwa kuanzisha mradi wako wa kufuga kuku na kupata watu wakukupa pesa ya kuendeshea mradi?
Hakika mkuuMkuu pride haijawai kuwa na faida zaidi ya moyo...fanya kile unachopenda bila kuangalia watu.
ohooHakika mkuuView attachment 1536380