luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Huku kwetu ni majanga tunalindwa na Mungu, walivyo tangaza visa 480 kweli watu wakaanza kunawa mikono kila sehemu na kuvaa barakoa, walivyoacha kutangaza, wameacha kabisa hata kuvaa hawavai na kunawa mikono wameacha. Wanasema corona imeisha.kuna umakini sana mkuu usidhani kuna mrundikano wa kiholela
Wengi wanasema bombardier yetu imefata dawa Madagascar hawawezi jitesa na na barakoa. Bongo ni vituko tupu.