Matajiri wa jiji la Geneva(Switzerland) waanza kugawa chakula na mahitaji muhimu bure kwa wahamiaji masikini na waliopoteza ajira

kuna umakini sana mkuu usidhani kuna mrundikano wa kiholela
Huku kwetu ni majanga tunalindwa na Mungu, walivyo tangaza visa 480 kweli watu wakaanza kunawa mikono kila sehemu na kuvaa barakoa, walivyoacha kutangaza, wameacha kabisa hata kuvaa hawavai na kunawa mikono wameacha. Wanasema corona imeisha.

Wengi wanasema bombardier yetu imefata dawa Madagascar hawawezi jitesa na na barakoa. Bongo ni vituko tupu.
 
si bado wanachunguza vipimo nasikia then wanaendelea ama?
 
Kwahiyo Geneva hamna masikini, unakuwaje masikini wakati unapesa (regardless hata kama umepewa), sivyo?
 
mkuu unaelewa ninachozungumza laikini, au ni nini hasa point yako maana naona tuna rudia rudia tu
ndugu huyo ni mfuasi wa buku saba za lumumba mtabishana sana, yeye anachotaka kusikia ni yale yanayoendana na magufuli anayofanya huku bila hivo mtakesha hapa nakushauri achana nae mpuuzie
 
ndugu huyo ni mfuasi wa buku saba za lumumba mtabishana sana, yeye anachotaka kusikia ni yale yanayoendana na magufuli anayofanya huku bila hivo mtakesha hapa nakushauri achana nae mpuuzie
😳😳😳😳
 
Na hela pia wanawapa?

mama wawili
kwenye pesa hapa ndio kuna vigezo mkuu, wanaangaliwa haswa wale vibarua waliokuwa wanalipwa kwa saa ambao kazi zao zimeathirika na hii corona
 
kwenye pesa hapa ndio kuna vigezo mkuu, wanaangaliwa haswa wale vibarua waliokuwa wanalipwa kwa saa ambao kazi zao zimeathirika na hii corona
Ujue kuna kipindi kuitwa boss jau sana.
Haki ukute hapo mkurugenzi hali tia maji tia maji anatamani na yeye angekuwa kibarua akapata hizo shekeli.

mama wawili
 
Ujue kuna kipindi kuitwa boss jau sana.
Haki ukute hapo mkurugenzi hali tia maji tia maji anatamani na yeye angekuwa kibarua akapata hizo shekeli.

mama wawili
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€hapana mkuu mbona wanalipa vizuri sana wala hawana shida na hivi vitu vidogo
 
mkuu unaelewa ninachozungumza laikini, au ni nini hasa point yako maana naona tuna rudia rudia tu
Nashangaa unajaribu kumwelewesha mtu aliyekabizi akili yake kwa polepole pale lumumba.
Huu ni msukule, unaendeshwa na rimoti ya buku saba FRANCIS DA DON
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…