Matajiri wa jiji la Geneva(Switzerland) waanza kugawa chakula na mahitaji muhimu bure kwa wahamiaji masikini na waliopoteza ajira

huu mjadala tuufunge mkuu maana kuna member hapo ameshaning'ata sikio kuhusu wewe
Mbona kama unajing’ata halafu unalia mwenyewe, kwani we ni taahira? swali lilikuwa rahisi, sasa unatakaje kuukimbia uzi wako mwenyewe?
 
Mbona kama unajing’ata halafu unalia mwenyewe, kwani we ni taahira? swali lilikuwa rahisi, sasa unatakaje kuukimbia uzi wako mwenyewe?
😀😀wewe jamaa, hujawahi kufundishwa ustaarabu
 
😀😀wewe jamaa, hujawahi kufundishwa ustaarabu
Walimu wanakazi kubwa sana.kichwa kama hiki hata ukipige vipi hakielewi,ngoma nzito hiyo achananae siyo lazima yeye kuelewa.
 
Walimu wanakazi kubwa sana.kichwa kama hiki hata ukipige vipi hakielewi,ngoma nzito hiyo achananae siyo lazima yeye kuelewa.
nimeshaachana nae mkuu, kuna watu wamezaliwa kubisha
 
Ooh, kumbe masikini ambao sio wahamiaji walishapanga foleni yao kuwezeshwa kabla ya wahamiaji, sasa si ungeleta na uzi wa foleni waliopanga masikini ambao sio wahamiaji kupokea chakula? Ili kubalance story
Anzisha uzi wako unaotaja wazawa kupewa msaada. Unampangia mtu aseme nini.
 
Siwalaumu wananchi kama mkuu wa nchi ametangaza corona ipo kwenye mapapai na nyama ya mbuzi.
 
Huulizwi na wala hamna vigezo wao wamesema kama huna uhakika wa kupata msosi nenda kachukue ,wewe ukifika tu unapewa hakuna cha kuuliza unajishughulisha na nini
Kweli hiyo ni dunia ya kwanza.
 
ni raha sana kuishi nchi za dunia, marekani na ubabe wao hawawezi kufanya hivi
 
[emoji3][emoji3][emoji3] sisi tunasubiria bombardier ije kufanya mandingo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila picha hainogi. Nataka nimuone Beberu akiwa foleni ya kupokea resheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…