Matajiri wa Qatar kuinunua Man United kwa £6b ambayo ni sawa na Tshs trilioni 16.9

Matajiri wa Qatar kuinunua Man United kwa £6b ambayo ni sawa na Tshs trilioni 16.9

Sasa hapo nani fala? Unajishushia heshima tu! 1£= ths 2829

Sasa 6b*2829=16,978,000,000,000.00/=

Karibu trillion 17 Mzee!!!

Kwa dau la bilion 800 hata kina Ronaldo, Rihanna,mo, bakhressa wanazo hizo !

Tafuta mtu akufunze hesabu!!!
nami nimemwambia ila anajifanya mjuzi
 
Sio ligi hii

Ukikosea kubali kusahihishwa kiongozi
Sio lazima ukaigeuza kwa Tshs unaeza kuipeleka ata kwa Kshs kama itakupendeza na hesabu zita balance maana hiyo hela haikatwi kodi hapa bongo
 
Sio lazima ukaigeuza kwa Tshs unaeza kuipeleka ata kwa Kshs kama itakupendeza na hesabu zita balance maana hiyo hela haikatwi kodi hapa bongo
Nilisha notice ume convert to kshs!

Ila sasa umeandika tshs! Alafu bado unakua mbishi

Basi we ni juha! I rest my case!
 
Kuna mdau aliweka uzi hapa eti mama mchele aweke dau kuinunua mwanitesa united timu iwe kama kitegauchumi cha njii hii
 
Trillion 12 hiyo na ushee .Sio billion mia 8
 
Naona wat
Nilisha notice ume convert to kshs!

Ila sasa umeandika tshs! Alafu bado unakua mbishi

Basi we ni juha! I rest my case!
Naona unajikuta kukaza Hilo fuvu lako wakati hesabu huzijui kama unajua ingekupasa kung'amua mapema na sio kuja kuropoka tu
 
Waarabu wameshaona dili kuwekeza kwenye mpira wa ulaya, hapo ndipo wachezaji wa kawaida watazidi kununuliwa kwa pesa nyingi tofauti na uwezo wao uwanjani.

Kuna baadhi ya timu kwao kukuza vipaji itakuwa ni sawa na ndoto tu, kana ambavyo Chelsea wameonesha kwenye dirisha dogo lililopita.
 
Back
Top Bottom