Matajiri wanahangaika masikini wako free

Matajiri wanahangaika masikini wako free

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,180
Reaction score
1,964
Hii kanuni inachanganya. Utamkuta mtu mwenye kipato kizuri Yuko bize katika utafutaji zaidi lakini maskini ana muda wa kutosha kufanya yasiyo ya msingi. Hivi haiwezekani maskini kuwa bize kwenye utafutaji zaidi tajiri?
 
Binafsi kuna mzee nilikuwa nafahamiana nae, alikuwa serikalini kitengo kizuri tu. Kipato chake kilikuwa kizuri si haba na alimiliki nyumba zaidi ya saba kali ambazo mimi nilibahatika kuziona hapa Dsm lakini pia alikuwa na miradi mingine mingi tu kifupi hakubweteka.,,,,juzi tumemzika baada ya kupigwa na stroke na kisha kufariki R.I.P

Mwache maskini ainjoy maisha mafupi haya.
 
Back
Top Bottom