Binafsi kuna mzee nilikuwa nafahamiana nae, alikuwa serikalini kitengo kizuri tu. Kipato chake kilikuwa kizuri si haba na alimiliki nyumba zaidi ya saba kali ambazo mimi nilibahatika kuziona hapa Dsm lakini pia alikuwa na miradi mingine mingi tu kifupi hakubweteka.,,,,juzi tumemzika baada ya kupigwa na stroke na kisha kufariki R.I.P
Mwache maskini ainjoy maisha mafupi haya.