Matajiri wanaoishi Arusha, Kilimanjaro, Mwanza na kwingine wanatumia wamasai wawafugie maelfu ya ngombe Ngorongoro, sasa wanafadhili maandamano

Matajiri wanaoishi mikoa ya mbali ikiwemo Mara, Mwanza, Arusha, Kilomanjaro, Dar es salaam walitumia kigezo cha jamii ya kimasai kuishi Ngorongoro kuingiza hifadhini mamilioni ya ngombe hivyo kuathiri uhifadhi.

Hii ni baada ya serikali kudhibiti mifugo kuingia katika hifadhi nyingine ikiwemo seregeti.

Matajiri hao kwa sasa wanatumia nguvu ya fedha na kuwapa kikundi kidogo cha wamasai ili wakatae kuondoka Ngorongoro kwa kuwa wnaajua itakula kwao, kwa sababu itakuwa maajabu na hao matajiri wanaomiliki migodi, viwanda, na mabasi wakipewa ekari mbili msomera.

Wingi wa wanyama wa kufugwa umesababisha magonjwa mengi kwa wanyama pori, na vifo vya wanyama pori kwa sasa vimekithiri Ngorongoro kutokana na kurundikana kwa mifugo toka kanda ya ziwa, Mbeya, Lindi, na baadhi ya maeneo ya Tanga na kilimanjaro.

Wale wafugaji wa asili kabisa ya Ngorongoro wote wameondoka kwenda Msomera, Tanga, wamebaki vibarua wa matajiri hao ambao sasa wanasababisha vurugu mbugani.

Pia soma:
Mavi yako.
 
Acha unafiki
 
Mnawachukulia masai kama mazuzu fulani hivi,msicho kijua wale watu wanajielewa kuliko mnavyo dhani.
Kwa akili yako mtu anaelipwa kufuga mifugo ya mtu angekomaa kwenye maandamano siku 5?kwa ajili ya nini?Ficheni ujinga na chuki zenu
 
Back
Top Bottom