Matajiri wanaoishi Arusha, Kilimanjaro, Mwanza na kwingine wanatumia wamasai wawafugie maelfu ya ngombe Ngorongoro, sasa wanafadhili maandamano

Majungu si mtaji
Hii jamiiforum imejaa posti zisizo na tija tofauti na jamii forum ya 2011. Nimeapa kuja kufungua mtandao wangu nikirudi bongo. Utakuwa kama reddit na moderators watakuwa A.I bots.
 
Mavi yako.
 
Acha unafiki
 
Mnawachukulia masai kama mazuzu fulani hivi,msicho kijua wale watu wanajielewa kuliko mnavyo dhani.
Kwa akili yako mtu anaelipwa kufuga mifugo ya mtu angekomaa kwenye maandamano siku 5?kwa ajili ya nini?Ficheni ujinga na chuki zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…