Siyo bure as such, lakini utachukuliwa fastaaa na utatibiwa. Pesa utakuja kudaiwa baadae usharudi hata nyumbani kabisa.Inasikitisha sana Afrika ni SHIT HOLE Continent.
USA tiba ni bure ,ukipiga 911 ndani ya dakika 0 ,5-0 washafika.
Afrika tumelaaniwa yaani wote tupo hivyo hivyo ,familia ya kizigha na samuya wakikusanya magari yao ya bei mbaya unaweza kujenga barabara (za kuunganisha mitaa/rings roads) nchi nzima na pia kuweka emergency road za Ambulance kama ilivyo kwa mwendo kasi.Ukiangalia Ambulance Dar zinavyopambana na foleni wakati mwingine unatamani uwakamate watawala uwachape viboko.
Ndiyo maana wengine tunajioiga self imposed exile nchi zenye mifumo going on 13 years now hata likizo kurudi Bongo mgogoro.
Ndiyo maana wengine tunajioiga self imposed exile nchi zenye mifumo going on 13 years now hata likizo kurudi Bongo mgogoro.
Ni kweli mkuu ulivyosema....Hata canada nilikuwa namsikiliza Diaspora anasema unaenda hospital unapimwa free unaandikiwa dawa unaenda pharmacy kuchukua dawa ,napo ni FREE.Siyo bure as such, lakini utachukuliwa fastaaa na utatibiwa. Pesa utakuja kudaiwa baadae usharudi hata nyumbani kabisa.
Nirudi Bongo kwani nimesahau nini?Na ukirudi Bongo sasa kuna risk ya kuwa victim kama Thadey Kweka.
Kwani bongo sheria za barabarani zinasemaje kuhusu magari ya kubebea wagonjwa?Ukiangalia Ambulance Dar zinavyopambana na foleni wakati mwingine unatamani uwakamate watawala uwachape viboko.
Mimi uzuri wangu nilivyoondoka Tanzania nilijua naondoka kimoja, sikusema naondoka halafu nirudi.10 years and counting. My desire huwa ni kurudi bongo lakini issues kama hizi zikitokea zinanikumbusha nipo sehemu salama zaidi. Watu wengi wanapoteza uhai kwa ubovu wa services na si kwamba siku yao imefika. Ndio maana life expectancy ya mwafrika ipo kwenye 60s wakati mzungu anapiga 70+. Quality of life
Haurudi bongo sababu mifumo mgogoro ama sababu hauna hela?Ndiyo maana wengine tunajioiga self imposed exile nchi zenye mifumo going on 13 years now hata likizo kurudi Bongo mgogoro.
Tulidhani diaspora mlioona ulimwengu bora unafanyaje kazi mngerudi kutusaidia kurekebisha hali ya mambo nyumbani, sasa na nyie mnatokomea huko tena!😁10 years and counting. My desire huwa ni kurudi bongo lakini issues kama hizi zikitokea zinanikumbusha nipo sehemu salama zaidi. Watu wengi wanapoteza uhai kwa ubovu wa services na si kwamba siku yao imefika. Ndio maana life expectancy ya mwafrika ipo kwenye 60s wakati mzungu anapiga 70+. Quality of life
Sikuona ambulance wala gari lingine lolote la uokoaji!
AJ aliishia kupandishwa kwenye gari ya polisi tena siti ya mbele.
Halafu nimeona picha za wale waliopoteza maisha yao.
Mmoja alikuwa hana kichwa. Miili yao iliachwa wazi tu na hakuna hata mmoja kati ya waliokuwepo ambaye alijaribu walau kuifunika hiyo miili.
Sijui AJ ata recover kivipi kutoka kwenye trauma aliyoipata.
Mimi nilikuwa nasikia neno trauma mara traumatized, siku nilipatwa tukio lakuvamiwa ilinichukua kipindi mpaka hii hali ikatoka kwenye kichwa changu, sasa kwa ajali ya namna hii sijui jamaa itamchukua muda gani kusahau hali hiiSikuona ambulance wala gari lingine lolote la uokoaji!
AJ aliishia kupandishwa kwenye gari ya polisi tena siti ya mbele.
Halafu nimeona picha za wale waliopoteza maisha yao.
Mmoja alikuwa hana kichwa. Miili yao iliachwa wazi tu na hakuna hata mmoja kati ya waliokuwepo ambaye alijaribu walau kuifunika hiyo miili.
Sijui AJ ata recover kivipi kutoka kwenye trauma aliyoipata.