Matajiri wausiwa kudai nchi bora kutokana na ajali ya Anthony Joshua

Matajiri wausiwa kudai nchi bora kutokana na ajali ya Anthony Joshua

Viongozi afrika hudai hakuna Hela za ambulance, zimamoto, huduma za afya, maji nk nk nk
Chakushangaza hela zipo kwenye misafara yao ya ma V8, V6, magari ya bei mbaya kwa watoto wao, majumba, safari zao, huduma KWAO...
WABINAFSI WAROHO WAKATILI KABISA..
 
Back
Top Bottom