Upo Sawa, kijana alipata ajali huko kwa DP-world, wenzake wakaita ambulance dakika sifuri. Alipofikishwa HospitalI akahudumiwa na baada ya kumaliza operation, ndipo wakaanza kutafuta ndugu zake akiwa ICU. Thrombosis. Hapo ni usiku wa saa 8. Ingekuwa TZ sijui kama hata ningeweza kusimulia maana inasemekana ugonjwa uliopona ndiyo husimuliwaSiyo bure as such, lakini utachukuliwa fastaaa na utatibiwa. Pesa utakuja kudaiwa baadae usharudi hata nyumbani kabisa.