Matamanio ya mwili

Matamanio ya mwili

bwana mie hajanivutia kabisa mwenzio, yupo kama hajapaka lotion huo mwili kuanzia juzi.

Aaaaah luv hii si ndo natural color au unasababu ingine? Hilo fulushi vp?
 
colour yake naikubali 100%, ishu ni kwamba kapauka pauka fulani jamani, mie hajanivutia, kalio lipo kama fake vile....haya kipenmdacho roho.
 
Na we dada angu siku hizi unataka utamani wanawake wenzio?

Sorry, shem hajambo?
 
Wivu tuuuuu dah!

yani jamani mtu ukiwa na damu ya kunguni kazi kubwa, sasa wengine wamesema ana mironjo kama ya cjui nsajigwa cjui kaseja, kila mtu kasema lake, lakini kakamatika nyamayao....ndio dizaini zako nn hizo.
 
colour yake naikubali 100%, ishu ni kwamba kapauka pauka fulani jamani, mie hajanivutia, kalio lipo kama fake vile....haya kipenmdacho roho.

Mwone sasa lotion ya nn tena wakati color natural huyu amejipaka bodyline tu.

Kalio original hilo lingekuwa la mchina linajulikana kwanza halipo level linakuwa lina mabonde mabonde
 
Na we dada angu siku hizi unataka utamani wanawake wenzio?

Sorry, shem hajambo?

huwaga tunatoa credit pale inapotakiwa, hajacmama kivile kabisa, labda nyie wenye kuangalia kitu kimoja kwa sie tunaojumlisha, hapana bwana....shem hajambo, haya leo imekuwaje umemkumbuka mtu mzima unaacha salimia kina uncle?
 
Mwone sasa lotion ya nn tena wakati color natural huyu amejipaka bodyline tu.

Kalio original hilo lingekuwa la mchina linajulikana kwanza halipo level linakuwa lina mabonde mabonde[/QUOTE]

yowomiii...haya umeshinda my love...mtoto kacmama.
 
nadhani kutamani ni kwa kila mtu!sema tu inategemea unajizuia vpi,tusiongelee uwingi lkn mm kama mdada pia natamani,unaweza kumtamani mtu kwa muonekano wake,utanashat wake,uongeaji wake,uelewa wake,mali zake alizonazo,tabasam lake,uchafu wake,upole wake etc lakini maadili yangu hayaniruhusu kumwambia langu la moyoni labda nikivuka mipaka sana ntamwambia kaka umependeza lkn siwezi kusema kaka nakupenda,sasa mtu kama huyu akinitokea tu atapata chenga ndogo tu labda mwezi maana tayari na mm nina nterest zangu kwakwe.
The Following User Says Thank You to Pearl For This Useful Post:

Bigirita (Today)

Trust ME, the truth stand.
 
huwaga tunatoa credit pale inapotakiwa, hajacmama kivile kabisa, labda nyie wenye kuangalia kitu kimoja kwa sie tunaojumlisha, hapana bwana....shem hajambo, haya leo imekuwaje umemkumbuka mtu mzima unaacha salimia kina uncle?

Ningeshangaa usingenipiga miswali yako.

Wenzangu wana dada lakini mi nna zaidi ya dada. Mnoko kila idara lol
 
Mwone sasa lotion ya nn tena wakati color natural huyu amejipaka bodyline tu.

Kalio original hilo lingekuwa la mchina linajulikana kwanza halipo level linakuwa lina mabonde mabonde

Ha ha ha ha
 
We dogo digidigi crap umepona? Siku nyingine usirudie kunywa bia na samaki.
Ana kesi ya kujibu huyu............unapate malaria wakati mwilini kumejaa viceroy??
usipojibu tunakukabidhisha semenya akuongezee typhod kwenye hiyo malaria
 
Mi nadhani huyu dogo ana zaidi ya malaria....
 
Back
Top Bottom