Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
heh kumbe babu Aspirin lol nahis nahitaji dose coz ht coni
Ewaaa...hebu twende PM tuka do the needful....hapa watoto watasikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heh kumbe babu Aspirin lol nahis nahitaji dose coz ht coni
bwana mie hajanivutia kabisa mwenzio, yupo kama hajapata lotion huo mwili kuanzia juzi.
Mpwa nimekuachia ushindwe mwenyewe
Aaaaah luv hii si ndo natural color au unasababu ingine? Hilo fulushi vp?
colour yake naikubali 100%, ishu ni kwamba kapauka pauka fulani jamani, mie hajanivutia, kalio lipo kama fake vile....haya kipenmdacho roho.
Wivu tuuuuu dah!
colour yake naikubali 100%, ishu ni kwamba kapauka pauka fulani jamani, mie hajanivutia, kalio lipo kama fake vile....haya kipenmdacho roho.
Na we dada angu siku hizi unataka utamani wanawake wenzio?
Sorry, shem hajambo?
Mwone sasa lotion ya nn tena wakati color natural huyu amejipaka bodyline tu.
Kalio original hilo lingekuwa la mchina linajulikana kwanza halipo level linakuwa lina mabonde mabonde[/QUOTE]
yowomiii...haya umeshinda my love...mtoto kacmama.
The Following User Says Thank You to Pearl For This Useful Post:nadhani kutamani ni kwa kila mtu!sema tu inategemea unajizuia vpi,tusiongelee uwingi lkn mm kama mdada pia natamani,unaweza kumtamani mtu kwa muonekano wake,utanashat wake,uongeaji wake,uelewa wake,mali zake alizonazo,tabasam lake,uchafu wake,upole wake etc lakini maadili yangu hayaniruhusu kumwambia langu la moyoni labda nikivuka mipaka sana ntamwambia kaka umependeza lkn siwezi kusema kaka nakupenda,sasa mtu kama huyu akinitokea tu atapata chenga ndogo tu labda mwezi maana tayari na mm nina nterest zangu kwakwe.
huwaga tunatoa credit pale inapotakiwa, hajacmama kivile kabisa, labda nyie wenye kuangalia kitu kimoja kwa sie tunaojumlisha, hapana bwana....shem hajambo, haya leo imekuwaje umemkumbuka mtu mzima unaacha salimia kina uncle?
Mwone sasa lotion ya nn tena wakati color natural huyu amejipaka bodyline tu.
Kalio original hilo lingekuwa la mchina linajulikana kwanza halipo level linakuwa lina mabonde mabonde
Fidel huyu mbona miguu yake haina tofauti na ya Semenya
Ana kesi ya kujibu huyu............unapate malaria wakati mwilini kumejaa viceroy??We dogo digidigi crap umepona? Siku nyingine usirudie kunywa bia na samaki.
Ana kesi ya kujibu huyu............unapate malaria wakati mwilini kumejaa viceroy??
usipojibu tunakukabidhisha semenya akuongezee typhod kwenye hiyo malaria
The Following User Says Thank You to Pearl For This Useful Post: