Matamanio ya mwili

Matamanio ya mwili

Mmeniacha mbali kweli sielewi nini kinaendelea hapa leo
 
Ningeshangaa usingenipiga miswali yako.

Wenzangu wana dada lakini mi nna zaidi ya dada. Mnoko kila idara lol

na ndio dada yako mie uliejaliwa, sasa cjui utanifanyaje na nina mpango wa kukuzidishia unoko.
 
Ubaya ni kwamba unaweza kupata alafu matamanio yakahamia kwa vimbau mbau lol

mnaridhikaga nyie basi? Taaaaaabu tupu, kazi kufunuafunua kila kyupi. Akili kumkichwa wadada
 
Sasa 2my hiyo avatar yako unaniruhusu nianzishe sredi ya "Matamanio ya mwanaume kitandani?"

Ni ombi tu waweza kubali au kataa.... I have fallen in love with it...damn! nazeeka vibaya asee!


isee nimecheka mpaka machozi yanatoka.
Habari yake babuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
duh huko nyuma kajaza kweli kweli
hakika angenikama hapo
 
nadhani kutamani ni kwa kila mtu!sema tu inategemea unajizuia vpi,tusiongelee uwingi lkn mm kama mdada pia natamani,unaweza kumtamani mtu kwa muonekano wake,utanashat wake,uongeaji wake,uelewa wake,mali zake alizonazo,tabasam lake,uchafu wake,upole wake etc lakini maadili yangu hayaniruhusu kumwambia langu la moyoni labda nikivuka mipaka sana ntamwambia kaka umependeza lkn siwezi kusema kaka nakupenda,sasa mtu kama huyu akinitokea tu atapata chenga ndogo tu labda mwezi maana tayari na mm nina nterest zangu kwakwe.

Lulu!, usijiumize dada, kama wanipenda nipasulie waziiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!, Achana na hayo maaadili..
 
Back
Top Bottom