Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Kama mnavyojua utafiti unaonyesha Watanzania wengi hawana furaha ya kuishi,basi na ifike mahali waandaaji wa matamasha waige mfano wa clouds,kwamba kuna watu wanauhitaji sana wa kuwaona wasanii wao na kuburudika but tatizo kipato,so inapofika mahali bei ikawa rafiki watu watahudhuria,na inapofikia stage wakaruhusiwa kuingia bure kabisaaa yani fungulia mbwa basi ndo nyomi litaitika mara dufu,Asante clouds mmeonyesha njia ya kiingilio cheap inawezekana na kuingia bure inaruhusiwa pia,hope wengine wataiga na hii.