Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baadae wasanii wasilie njaa tuKama mnavyojua utafiti unaonyesha Watanzania wengi hawana furaha ya kuishi,basi na ifike mahali waandaaji wa matamasha waige mfano wa clouds,kwamba kuna watu wanauhitaji sana wa kuwaona wasanii wao na kuburudika but tatizo kipato,so inapofika mahali bei ikawa rafiki watu watahudhuria,na inapofikia stage wakaruhusiwa kuingia bure kabisaaa yani fungulia mbwa basi ndo nyomi litaitika mara dufu,Asante clouds mmeonyesha njia ya kiingilio cheap inawezekana na kuingia bure inaruhusiwa pia,hope wengine wataiga na hii.View attachment 1286047
vya bure gharama mkuukwa nini?
hapo kuna 10000 hadi 500000 upande mwingine 3000 , 5000 na 20000 alafu watu ni kama wanalingana tu
Wote wa kajamba nani?kwahiyo walioenda pale wote ni wahuni? [emoji23][emoji23][emoji23]
pole sana unavamia maandishi bila kufikirisha ubongo.....pole sanaNakushauri urudi shule kabla haujawa kichaa
kuna mtu anaitwa Abraham Maslow aliwai sema katika maisha kuna vitu vitatu vya msingi
1. Chakula 2. Malazi 3. mavazi
Sasa iyo kusema mziki ni lazima labda kwako kulingana na preference yako unaweza ukatoa elfu 20 uende kwenye Tamasha ukiwa hauna nguo na haujui utakula nini?
Fikiria nje ya box mkuu alafu kusema kwamba kiongilio ndio kimejaza watu nakataa ukwel ni kua clouds wamepoteza mvuto watu wengi wameingia bure nimeona clip moja Sallam sk kaweka upande wa nyuma na jukwaani hakuna watu na nimapengo mapengo sana
Kwa asilimia 99.5 kamera nyingi azitaki onesha mwanzo wa uwanja mpk mwisho ziko jukwaani kwa mda mrefu sana kwa nini wasitumie drone kuprove watu wrong
NB Nlikuepo jana mimi ni mpenzi wa burudani na nilichoona pia shoo ilikua imepooza sana yani hakuna amsha amsha
hebu ngoja kwanza nilale labda asubuh naweza kuelewa ulichokiandika.....!!Fiesta mikoani bei3000 Dar ndo ilikuaga inakua juu kidogo kabla hata ya hao wasafi wako kufika mjini mmeumbuka nyie team wasafi mlidhani watu hawatajaaa kumbe watu tumeanza kwenda kwenye fiesta kabla ya hao mnaowashobokea hawajafika mjini na kwa taarifa yako na waanafiki wenzio siku zote mjini akili na kumzidi ujanja mpinzani wako Tu elf3 waiona ndogo lakini wakiingia watu elf40 wakalipa hyo piga mahesabu na huyo aloweka elf 10 wakaingia watu 2elf10 utajua tofauti ya Tinga tinga na vitz!
Kingine mambo ya koplimentary hajaanza Jana wala juzi toka enzi mbona watu wanaingia bure Ni vitu vidogo sanaa hvyoo!!
BTW wamachinga hatunaga roho ya husdaa we itakua mmakonde wa mitipweshii!!!
Hata waliokuwa wanajazana pale Shamba la Bibi kwenye hizo sherehe ni Wasukuma, kwahiyo kilichofanyika kwa sasa ni kuwapatia "raha" Wasukuma walio Kanda ya Ziwa, na wa Dar es salaam waanze kufuatilia kupitia TV!Dar bwana yaani mmekosa show ya uhuru mkaamua mkamalizie uchungu fiesta haahah zamu yenu na nyie kuangalia sherehe za uhuru azam tv
Hawa jamaa waongo waongo SanaRoughly hawazidi 5000.Mida hiyo Jukwaani yuo Nandy.
View attachment 1286597
View attachment 1286598View attachment 1286598
View attachment 1286600
View attachment 1286601
[emoji2]Jamaa anazan kuwa wa kishua ni zambi wakati ni maisha tu watu tumezaliwa tumekuta wazazi wetu wametujengea majumba na kutununulia magari ya kifahari.
Sasa sisi tuyakatae ili iweje
Kuna baadhi ya watu huwa wanachekesha sana
Wewe ULIINGIZWA BURE?...bwa muandishiKama mnavyojua utafiti unaonyesha Watanzania wengi hawana furaha ya kuishi,basi na ifike mahali waandaaji wa matamasha waige mfano wa clouds,kwamba kuna watu wanauhitaji sana wa kuwaona wasanii wao na kuburudika but tatizo kipato,so inapofika mahali bei ikawa rafiki watu watahudhuria,na inapofikia stage wakaruhusiwa kuingia bure kabisaaa yani fungulia mbwa basi ndo nyomi litaitika mara dufu,Asante clouds mmeonyesha njia ya kiingilio cheap inawezekana na kuingia bure inaruhusiwa pia,hope wengine wataiga na hii.View attachment 1286047
Yaani unaingia bure na vibaka wanakuibia simu na pesa yako wanafunga njia unashindwa kutoka na gari au wanakuibia power window.. hapo furaha inaongezeka vipi? .. labda kama lengo ni kuongeza furaha za wahuni
Kasema fiesta haijawah kupata faida[emoji23]Kesho tutamsikia Mkurugenzi wa clouds kwenye The bartender #wasafi media
Tutajua tu
hapana ila NILIWAINGIZA BURE kaka ako na dada ako😂Wewe ULIINGIZWA BURE?...bwa muandishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kasema fiesta haijawah kupata faida[emoji23]
Kweli mdau me nilikuwepo fiesta imezingua sana, nilivyotarajia sivyo kabisa. Japo ni fans mkubwa wa cloudsNakushauri urudi shule kabla haujawa kichaa
kuna mtu anaitwa Abraham Maslow aliwai sema katika maisha kuna vitu vitatu vya msingi
1. Chakula 2. Malazi 3. mavazi
Sasa iyo kusema mziki ni lazima labda kwako kulingana na preference yako unaweza ukatoa elfu 20 uende kwenye Tamasha ukiwa hauna nguo na haujui utakula nini?
Fikiria nje ya box mkuu alafu kusema kwamba kiongilio ndio kimejaza watu nakataa ukwel ni kua clouds wamepoteza mvuto watu wengi wameingia bure nimeona clip moja Sallam sk kaweka upande wa nyuma na jukwaani hakuna watu na nimapengo mapengo sana
Kwa asilimia 99.5 kamera nyingi azitaki onesha mwanzo wa uwanja mpk mwisho ziko jukwaani kwa mda mrefu sana kwa nini wasitumie drone kuprove watu wrong
NB Nlikuepo jana mimi ni mpenzi wa burudani na nilichoona pia shoo ilikua imepooza sana yani hakuna amsha amsha
vya bure gharama mkuu
unaweksje rehani simu ya laki 2 kwa buku 3?
Tupe mrejesho mkuu, mana mtaani na Instagram kamba SanaKweli mdau me nilikuwepo fiesta imezingua sana, nilivyotarajia sivyo kabisa. Japo ni fans mkubwa wa clouds